Content removal request!


HASSAN DILUNGA - "Ni ZAWADI ya Sikukuu kwa MASHABIKI wa SIMBA

HASSAN DILUNGA - "Ni ZAWADI ya Sikukuu kwa MASHABIKI wa SIMBA HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa ushindi wa leo wa mabao 4-0 mbele ya Lipuli uwanja wa Uhuru ni zawadi ya mashabiki siku ya X-Mass na umetokana na umakini wa kutumia makosa ya wapinzani wao kupata matokeo. Kwenye jumla ya mabao 4-0 ambayo Simba imefunga leo, Dilunga alifunga mabao mawili dakika ya 57 kwa mkwaju wa penalti na la pili dakika ya 65 akimalizia pasi ya Sharaf Shiboub huku lile la ufunguzi likifungwa na Francis Kahata akimalizia pasi ya Shomari Kapombe dakika ya 10 na la pili Meddie Kagere alipachika akimalizia pasi ya Clatous Chama. GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li