Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Sixtus Sabilo alianza kuifungia Polisi Tanzania kipindi cha kwanza kabla ya Simba SC kuzinduka kipindi cha pili kwa mabao ya Nahodha wake, mshambuliaji John Raphael Bocco na kiungo Ibrahim Ajibu. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars