Karibu kwenye channel ya uchambuzi wa mpira โฝHapa tunakuletea za mechi, uchambuzi wa kitaalamu, na maoni ya mashabiki baada ya mchezo. Tunawasilisha matukio muhimu ya soka kwa haraka, kwa ukweli, na kwa burudani. Subscribe usikose updates za mechi mpya. ๐ค Fan reactions | โฝ Match analysis | ๐ฅ Football update ๐บ Contact JM News TV Phone: +255 789 921 814 Email: jmnewstv269@gmail.com Dar es Salaam, Tanzania yanga sc vs simba sc, yanga sc vs simba sc live leo, yanga sc vs simba sc highlights, yanga sc vs simba sc live, yanga sc vs simba sc full match,yanga sc vs simba sc azam tv, yanga v simba highlights,mpenja yanga vs simba, yanga sc vs simba,yanga fc vs simba sc, simba vs yanga press conference,simba sc vs yanga sc, simba fc vs yanga simba vs yanga, simba sc today match yanga fc vs simba sc live, live football simba vs yanga,yanga latest news, yanga vs simba sc, yanga vs simba,yanga sc vs simba live 2025 community shield full match,simba sc vs yanga sc live,simba sc yanga live,simba sc yanga,yanga vs simba goals, press yanga vs simba,yanga vs simba highlights, simba fc yanga,simba v yanga live,yanga vs simba match highlights, yanga vs simba press,yanga vs simba today live Simba Live Match today Young Africans Live Match today Young Africans-Simba Simba-Young Africans Young Africans vs Simba Simba-Young Africans en director Young Africans vs Simba en director Simba-Young Africans en director Young Africans vs Simba Simba vs Young Africans Simba vs Young Africans Ao Vivo Partido imekamilika: Young Africans vs Simba Partido imekamilika: Simba vs Young Africans Young Africans vs Simba Young Africans vs Simba Live Simba-Young Africans Young Africans vs Simba Simba-Young Africans en director Simba Young Africans en director Simba vs Young Africans en director NBC Premier League NBC Premier League NBC Premier League Simba-Young Africans Simba-Young Africans en director Simba vs Young Africans Young Africans vs Simba Partido tamati Simba-Young Africans Simba ante el Young Africans NBC Premier League Ligi 2026 Young Africans-Simba Simba-Young Africans Young Africans-Simba Simba Young Africans Young Africans-Simba Simba Young Africans en director Simba vs Young Africans NBC Premier League NBC Premier League Live NBC Premier League NBC Premier League Simba-Young Africans Simba-Young Africans en director Simba vs.Young Africans Young Africans vs Simba Partido tamati Simba-Young Africans Young Africans-Simba Simba Young Africans #simbaSC #YoungAfricans #TanzaniaFootball #YangaSC #YangaHighlights #WilieteHighlights #CAF2025 #footballhighlights #soccer #YangaVsSilverStrikers #YangaLeo#YangaSc#SimbaSc#AzamTv #YangaSc #SimbaSc #AzamTv #Yanga #YangaLeo #YangaTv #Alikamwe #YangaScMedia #FriendlyMatch #MechiYaYangaLive #Simba #AhmedAlly #MoDewji #SimbaScTanzania #SimbaLeoLive #simbavsstademalien #simbascvsmalien #stademalienvssimba #simbaschighlights #stademalienhighlights #simbascleo #simbamechiyaleo #simbamatokeoyaleo #simbamagolileo #simbascfullhighlights #simbascextendedhighlights #football #CAFChampionsLeague #Yanga #YoungAfricans #SilverStrikers #YangaSC #YangaHighlights #WilieteHighlights #CAF2025 #footballhighlights #soccer #YangaVsSil #YangaLeo#YangaSc#SimbaSc#AzamTv #YangaSc #SimbaSc #AzamTv #Yanga #YangaLeo #YangaTv #Alikamwe #YangaScMedia #FriendlyMatch #MechiYaYangaLive #Simba #AhmedAlly #MoDewji #SimbaScTanzania #SimbaLeoLive #SimbaSC #Simba #Wanasimba #Simba2025#PetroDeLuanda #PetroLuanda #Petro2025#SimbaVsPetro #PetroVsSimba #SimbaPetro#CAFChampionsLeague #CAFCL #CAF2025 #CAFCL2025#LigiYaMabingwaAfrika #AfricanChampionsLeague #Goal #Goli #GoalsToday#SimbaHighlights #PetroHighlights #TanzaniaFootball #AngolaFootball #Yanga #YoungAfricans #YangaSC #Yanga2025 #ASFAR2025 #RoyalArmyClub #YangaVsASFAR #ASFARVsYanga #YangaASFAR#CAFChampionsLeague #CAFCL #CAF2025 #CAFCL2025 #LigiYaMabingwaAfrika #AfricanChampionsLeague#Dubee #DubeeGoal #GoliDubee #YangaHighlights #YangaLeo #YangaGoal #simbasc #yangasc #yangatv #yangateam #cupoftheleague #simbateame #yangaleo #yangalive #magoliyote #football #soccer #sports #arsenal #football #soccer #arsenal #psg#soccer #footballsoccer #simba #yangasc #yanga #liverpool#simba #tff #tbc #Football #MatchAnalysis #FanReactions #nbcpremierleagueleo #highlightstanzania #highlightstodaymatch #highlightssimbaleo #nbcpremierleagueleolive #uchambuziwamechizaleo #nbcpremierleagueleo #UchambuziWaMechi #MaandaliziYaMechi #ReactionMashabik #InterviewMashabiki #AnalysisYaMpira #BreakingNewsMichezo #JumlaYaMatokeo #MichezoLive #VideoHighlights #GoalAnalysis #TanzaniaSports #SportsTanzania #GamesTanzania #TanzaniaFootball #TanzaniaSoccer #FootballTanzania #ContinentalLeague #Tanzania #PremierLeague #SimbaSC #YangaSC #AzamFC #TaifaStars #TZSports #TanzaniaHighlights #SportsTZ #TrendinTanzania #TrendingSports #YouTubeTanzania #Football #Football #Highlights #Socce #CAFChampionsLeague #ligikuu #FF #nbc #azamtv #simba #yanga #ligikuu #tff
#yangasc #yangatv #yangaleo #azamsports #mpenjatv #manaratv #mavalatv #ayomatv #scopemedia #spotikaonlinetv #Utvtanzania #battletv #Dafraonolinetv #kariakooderby #alikamwe #Maximumtv #M15tv #wasafi #wasafimedia #PmtvTanzania #Richmedia #CAFAwards #tetesizausajiliyanga #viralvideo #tetesizausajilisimba #mazoeziyayanga #yangatv #yangaleo #yanga #simba #simbaleo #simbatv #football #viralshorts #battletv #datasportstv #mbwaduke #yangascmedia #tanfootball #pecomezouzou #Wolfssportnews #Afcon2023 #tv3tanzania #millardayo #S500tv #uhondotv #mashwishwitv #diamonds #salamba
๐จ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ :๐๏ธ R I P JAYDEN ADAMS ( 25 ) ๐ขNyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo. Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi. ๐ฃ๏ธ๐ Ripoti zinasema Jayden Adams aliingia bafuni Kwake, akafunga mlango na kujinyonga. SAUTI @farhankiham KAMFOLOW INSTAGRAM
#Yangasc #Tetesizausajili #UsajilimpyaYangasc Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Juma Abushir AKA Messi wa Chuga Miaka 18 attacking midfield kutoka Fountain Gate alihitajika krc Genk ,yanga wametoa Milion 100 kuvunja mkataba na atalipwa mshahara wa Milion 5 Kila mwezi kutoka kulipwa Laki 6 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United deal done 4. Azizi Ki wanasubiri avunje mkataba na Al Ittihad 5.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast ๐จ๐ฎ,Samba Konรฉ (23) โ Yanga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. โKone anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria ๐ฉ๐ฟ. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 6. Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 7. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 8. Idd Nado kutoka Azam FC Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja ๐ข๐ก HII HAPA LIST YA WACHEZAJI WA KIGENI WA YANGA SC ๐ฐ 1.๐ฒ๐ฑ Djigui Diarra 2.๐จ๐ฎ Yao Kouassi 3.๐จ๐ฉ Chadrack Boka 4.๐ง๐ช Frank Assink 5.๐ฌ๐ณ Balla Contรฉ 6.๐ฐ๐ช Duke Abuya 7.๐จ๐ฉ Maxi Nzengeli 8.๐ฒ๐ฑ Mohamed Doumbia 9.๐ฆ๐ด Laurindo Depu 10.๐บ๐ฌ Allan Okello 11.๐จ๐ฎ Pacome Zouzoua 12.๐ฌ๐ฒ Buba Jammeh 13.๐ง๐ช Lassine Kouma 14.๐ง๐ช Cรฉlestin Ecua
#Yangasc #Tetesizausajilimpya #WachezajiwapyaYangasc #alikamwe #hansrafael #Uchambuziwamichezo #mchomemapovu #Enghersisaidi Fagio la CHUMA limepita Bila huruma jangwani Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy 8. Farid Mussa 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma Wachezaji wanaosajiliwa Yanga 1. Yves Koutiama mshambuliaji wa Burkina Faso Na police Kenya magoli 11 mechi 17 ameingia dirisha Dogo 2. Azizi Ki 3. Nasri Kombo beki kutoka TRA United. 4.Samba Kone mrithi wa Shadrack Boka LB & CB assist 6 Miaka 23 ivory Coast Yanga wanamtaka mlinzi wa kushoto wa Mouna FC raia wa Ivory Coast ๐จ๐ฎ,Samba Konรฉ (23) โ Yanga wanamuona Kone kama mbadala sahihi wa Boka. โKone anamaliza mkataba wake na Mouna FC,june 30 mwaka huu. Mchezaji huyo amewahi kupita Paradou FC ya Algeria ๐ฉ๐ฟ. Msimu huu Kone katoa assist (4) huku akitajwa kama beki bora wa kushoto kwenye ligi ya Ivory Coast. 5. ๐จTaarifa za usajili zinaeleza kuwa klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa nyota wa klabu ya Anzoategui FC (Academia Anzoategui) inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Venezuela (FUTVE 2) Guillermo Leon Marin Pino maarufu kwa jina la Memo mwenye umri wa miaka (24). Pino anaweza kucheza nafasi mbalimbali kama vile Winga wa kulia (RW), Winga wa kushoto (LW) na kiungo Mshambuliaji. Kabla ya kujiunga na Anzoategui mnamo mwaka 2023 alikuwa anaitumikia klabu ya Deportivo La Guaira. Akiwa na Anzoategui msimu huu Pino amefanikiwa kuhusika kwenye mabao (5) baada ya kufunga mabao (3) na kutoa assisti (2) akicheza dakika (876) kwenye michezo (13). 6. Mosi Nduwumwe huyu ndiye top score ligi kuu Mechi 15 magoli 17 na ndiye mrithi wa Prince Dube,ni raia WA Burundi Miaka 25 Kocha wanaotajwa Kwa sasa Chavalier wa aasec mimosas ya ivory Coast na fadlu davids wa Raja
Kiungo Mshambuliaji wa @yangasc Pacome Zouzoua Amepata Majeraha Mabaya ya Kuvunjika Mguu wake Wakati Mchezo wa Mwisho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania Kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo. Baada ya Mchezaji huyo Nyota @pacom_zouzoua Kupata Majeraha Mabaya ya Mguu wake, Mashabiki wa Soka Afrika wamejitokeza Kumpa Pole Nyota huyu Huku Wengi wakimuombea Kupona Haraka na kurejea Uwanjani kuwatumikia Wananchi. Get Well Soon Pacome Zouzoua .
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori amesema uamuzi wa kuwauza nyota wao watatu ndiyo siri ya kuwasajili nyota wanane walioboresha kikosi hicho katika dirisha dogo na kupata timu ya ushindani. Akizungumza na Mwananchi Digital alipofanya ziara yake Kampuni ya Mwananchi, Tabata amesema hatua ya kutengeneza kikosi cha ushindani kinachoendelea kufanya vizuri haikuwa rahisi kutokana na kukosekana kwa bajeti ya kutosha. Magori alisema Simba ilisajili wachezaji wanane katika dirisha dogo la Januari ambao ni kipa Djibril Kassali, mabeki Nickson Kibabage, Ismaila Toure, viungo Libasse Gueye, Anicet Oura, Inno Loemba, Clatous Chama na mshambuliaji Baraka Mwangosi hiyo ilitokana na fedha walizopata baada ya mauzo ya wachezaji wake watatu. Januari wakati wa dirisha dogo Simba iliwauza, kiungo Jean Charles Ahoua aliyenunuliwa na CR Belouizdad ya Algeria, mshambuliaji Steven Mukwala na kiungo mshambuliaji Kibu Denis aliyeuza Al Nasri ya Libya.