OKRAH KASHAANZA MAMBO HUKO MISRI, KATUPIA MOJA, AKIPATA NAFASI ANAITUMIA by @Millard Ayo - Post Details

OKRAH KASHAANZA MAMBO HUKO MISRI, KATUPIA MOJA, AKIPATA NAFASI ANAITUMIA

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC Augustine Okrah leo amecheza game yake ya kwanza akiwa na Simba SC dhidi ya Ismaily wakiwa nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi kwa siku 21 na ameanza kwa kufunga goli katika mchezo huo wa kirafiki uliyomalizika kwa sare 1-1.

Similar Posts!