Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura by @Mwananchi Digital - Post Details

Magori: Mauzo ya Ahoua, Kibu na Mukwala yalizaa kina Gueye na Oura

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori amesema uamuzi wa kuwauza nyota wao watatu ndiyo siri ya kuwasajili nyota wanane walioboresha kikosi hicho katika dirisha dogo na kupata timu ya ushindani. Akizungumza na Mwananchi Digital alipofanya ziara yake Kampuni ya Mwananchi, Tabata amesema hatua ya kutengeneza kikosi cha ushindani kinachoendelea kufanya vizuri haikuwa rahisi kutokana na kukosekana kwa bajeti ya kutosha. Magori alisema Simba ilisajili wachezaji wanane katika dirisha dogo la Januari ambao ni kipa Djibril Kassali, mabeki Nickson Kibabage, Ismaila Toure, viungo Libasse Gueye, Anicet Oura, Inno Loemba, Clatous Chama na mshambuliaji Baraka Mwangosi hiyo ilitokana na fedha walizopata baada ya mauzo ya wachezaji wake watatu. Januari wakati wa dirisha dogo Simba iliwauza, kiungo Jean Charles Ahoua aliyenunuliwa na CR Belouizdad ya Algeria, mshambuliaji Steven Mukwala na kiungo mshambuliaji Kibu Denis aliyeuza Al Nasri ya Libya.

Similar Posts!

Unamtaka Kiungo Hatari BALLA MOUSSA CONTE halafu huna HELA Khaaaaaa?
Unamtaka Kiungo Hatari BALLA MOUSSA CONTE halafu huna HELA Khaaaaaa?

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

AHMED ALLY: Hao ni watu wa hovyo ...πŸ™Œ

AHMED ALLY AFUNGUKA UGOMVI WA NGOMA vs CAMARA, ASEMA WAO NDIO MABINGWA WA AFRIKA, WANASIMBA WATAMBE!

FADLU AFICHUA DOZI ZITO ALIYOWAANDALIA RS BERKANE KESHO, KAPOMBE AWASHA MOTO MKALI UBINGWA WA CAFCC
FADLU AFICHUA DOZI ZITO ALIYOWAANDALIA RS BERKANE KESHO, KAPOMBE AWASHA MOTO MKALI UBINGWA WA CAFCC

Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, amesema kikosi chake kiko tayari kwa mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco huku akisisitiza kuwa wachezaji wake wameshajifunza kupitia maumivu ya dakika 20 za kwanza kule Morocco. Akizungumza na waandishi wa habari Zanzibar, Fadlu amesema: β€œNdiyo, tulikuwa tumejiandaa kikamilifu kwa mechi ya kwanza. Tulikuwa tumepanga kila kitu kiufundi na kimkakati, lakini jambo kubwa zaidi lilikuwa kuwapa wachezaji uzoefu wa dakika zile 20 za mwanzo kwa sababu unaweza kuwa na mpango mzuri lakini hali halisi ya uwanja na mazingira ya fainali huwezi kuifundisha darasani. Lazima waishi nayo, wapitie, na wakue kupitia hilo.” Katika mechi wa kwanza iliyochezwa Morocco, Simba ilikubali kichapo cha mabao 2-0. Hata hivyo, Fadlu anaamini kuwa kikosi chake sasa kiko tayari kwa pambano la marudiano, licha ya mchezo huo kuhamishiwa Zanzibar badala ya uwanja wao wa nyumbani wa Benjamin Mkapa. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

ALLY MAYAY APENDEKEZA SULUHU KALI KUMALIZA SAKATA LA DABI YA KARIAKOO
ALLY MAYAY APENDEKEZA SULUHU KALI KUMALIZA SAKATA LA DABI YA KARIAKOO

Gwiji wa zamani wa Yanga, Taifa Stars na mchambuzi wa soka nchini, Ally Mayay Tembele, amesema alitarajia sakata la kuahirishwa kwa Dabi ya Kariakoo iliyopangwa kuchezwa Machi 8, 2025, lingetatuliwa mapema kutokana na majukumu ya kimataifa yanayolikabili taifa. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

BEKI JKT TANZANIA AUKUBALI MZIKI WA MPANZU, ATAJA KUMHOFIA KIBU KABLA YA MECHI
BEKI JKT TANZANIA AUKUBALI MZIKI WA MPANZU, ATAJA KUMHOFIA KIBU KABLA YA MECHI

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

SIMBA SC YAONYWA? MASTAA WA STELLENBOSCH WAFUNGUKA MAANDALIZI YAO KABLA YA NUSU FAINALI YA CAFCC
SIMBA SC YAONYWA? MASTAA WA STELLENBOSCH WAFUNGUKA MAANDALIZI YAO KABLA YA NUSU FAINALI YA CAFCC

Kwa mara nyingine tena macho na masikio ya wapenda soka la Afrika yataelekezwa visiwani Zanzibar, Jumapili hii, pale Simba SC ya Tanzania itakapoumana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho la CAFCC utakaopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Aprili 20, 2025. Katika kuelekea mchezo huo wa kusisimua, wachezaji wa Stellenbosch FC wameelezea maandalizi yao wakianzia ugenini katika mashindano haya. Video na Khatibu Mgeja. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj