Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamepoteza mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF CL) kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mashetani Wekundu wa Nkana FC katika mchezo uliopigwa mjini Kitwe nchini Zambia. Simba ilionekana kuelemewa zaidi kipindi cha kwanza cha mchezo na kuruhusu bao la kwanza lilifungwa na Ronald Kampamba dakika ya 27 baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Hassan Kessy. Kipindi cha pili Simba walionekana kuimarika na kukianza kwa kusukuma mashambulizi langoni kwa Nkana lakini walijikuta wakifanya makosa katika safu yao ya ulinzi na kuruhusu bao la pili, lililotiwa kimiani na Kelvin Kampamba dakika ya 56. Simba walipata bao lao pekee dakika ya 73 kwa mkwaju wa penati uliofungwa na Nahodha wao John Bocco baada ya Meddie Kegere kuangushwa ndani ya eneo la hatari. Kwa matokeo hayo sasa Simba itahitaji ushindi wa kuanzia bao 1-0 katika mchezo wa marudiano utakaopigwa Jijini Dar es Salaam, wiki moja ijayo.
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamepoteza mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF CL) kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mashetani Wekundu wa Nkana FC katika mchezo uliopigwa mjini Kitwe nchini Zambia. Baada ya mchezo huo, mashabiki wa Simba waliokuwa wakiufuatilia mchezo huo kupitia Azam TV wametoa maoni yao, huku wakiuchambua mchezo huo, na wengine wakimkosoa kocha wa timu hiyo Patrick Aussems.
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamepoteza mchezo wao wa kwanza wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF CL) kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mashetani Wekundu wa Nkana FC katika mchezo uliopigwa mjini Kitwe nchini Zambia. Baada ya mchezo huo, Msemaji wa Simba Haji Manara amezungumza na Mshikemshike Viwanjani na kusema kuwa matokeo waliyoyapata siyo mabaya sana, huku akiwataka mashabiki wao kuujaza Uwanja wa Taifa kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa wiki moja ijao.
SIMBA Wafanyiwa FIGISU Zambia Wapigishwa Deki Bila Kupenda TIMU ya Simba imefungwa bao 2-1 dhidi ya Nkana FC kwenye Uwanja wa Nkana, Kitwe, Zambia unaobeba mashabiki 10,000 katika mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mabao ya Nkana FC yamefungwa na Ronald Kampamba dakika ya 27 kipindi cha kwanza na Kelvin Kampamba dakika ya 56 kipindi cha pili. Simba wamepata bao kupitia kwa John Bocco kwa mkwaju wa penati dakika ya 73 kipindi cha pili baada ya Meddie Kagere kuangushwa kwenye eneo la hatari. #SIMBASC Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.
KIKOSI CHA KLABU YA SOKA YA SIMBA vs NKANA FC LEO #Simba #Nkanafc #Simbaleo #Kitwe No Copyright issue. CHANNEL LINKS for royality free musics are:- Somewhere in Nature by Simon More https://soundcloud.com/user-73416670 Creative Commons - Attribution 3.0 Unported - CC BY 3.0 http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Music promoted by Audio library https://youtu.be/Juena1vPUhQ
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Simba imefungwa bao 2-1 dhidi ya Nkana FC kwenye Uwanja wa Nkana, Kitwe, Zambia unaobeba mashabiki 10,000 katika mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mabao ya Nkana FC yamefungwa na Ronald Kampamba dakika ya 27 kipindi cha kwanza na Kelvin Kampamba dakika ya 56 kipindi cha pili. Simba wamepata bao kupitia kwa John Bocco kwa mkwaju wa penati dakika ya 73 kipindi cha pili baada ya Meddie Kagere kuangushwa kwenye eneo la hatari. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars
16 Avril 2014 / April 16, 2014 Stage Ndola / Ndola' Internship Arthur Davies Stadium / Kitwe Amical / Friendly Résumé du match / Highlights Power Dynamos FC 1-1 Tout Puissant Mazembe 13e Rainford KALABA (Passe de Solomon ASANTE) 38e Ignatius LWIPA
16 Avril 2014 / April 16, 2014 Stage Ndola / Ndola' Internship Arthur Davies Stadium / Kitwe Amical / Friendly Konkola Police Mine Football Club 0-1 Tout Puissant Mazembe 1' Cheibane TRAORE (Passe de Adama TRAORE)