Content removal request!


SIMBA TV 02/02/2019: Utamu wa Shiza Kichuya alipokuwa Msimbazi

Klabu ya Simba imemuuza mchezaji wake Shiza Ramadhan Kichuya kwa timu ya Pharco ya nchini Misri. Kipindi hiki kinakupa ladha mbalimbali za mchezaji huyo tangu ajiunge na Simba miaka miwili iliyopita huku Afisa Mtenda Mkuu wa Simba akifafanua sababu za kumtoa mchezaji huyo kwenda kwenye timu ambayo inashiriki ligi daraja la pili. Kipindi hiki pia kimeangazia kwa kina safari ya timu ya Simba nchini Misri ambako ilikwenda kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. #SimbaTV ni kila Jumamosi saa 3:30 usiku #AzamSports2