KAULI YA KWANZA YA MAYELE BAADA YA KUSHINDWA KUPINDUA MEZA SUDAN
KAULI YA KWANZA YA MAYELE BAADA YA KUSHINDWA KUPINDUA MEZA SUDAN

Kikosi cha Yanga SC kimewasili leo jijini Dar es Salaam kikitokea Khartoum Sudan ambapo ilikwenda kucheza mchezo wa marudiano wa round ya kwanza dhidi ya Al Hilal ya Sudan, Yanga wameondolewa kwa kufungwa goli 1-0 hivyo wameaga michuano hiyo kwa aggregate ya 2-1, Yanga wanarejea Dar es Salaam wakisubiria kucheza play off ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya November 2 & 9 2022.



TAZAMA YANGA SC ILIVYOONDOKA KIBABE KWENDA SUDAN KUWAFUMUA AL HILAL/FULL MKOKO.
TAZAMA YANGA SC ILIVYOONDOKA KIBABE KWENDA SUDAN KUWAFUMUA AL HILAL/FULL MKOKO.

Kikosi cha Yanga kimeanza safari yake usiku wa Oktoba 15 kuelekea Khartoum Kumenyana na Al Hilal katika mchezo wao wa Marejeo wa ligi ya mabingwa barani Afrika.



🔴Alichokisema Manara baada ya Simba kuifunga Asante kotoko ya Ghana(4-2) "Mke'Bora niangalie ile ya😜
🔴Alichokisema Manara baada ya Simba kuifunga Asante kotoko ya Ghana(4-2) "Mke'Bora niangalie ile ya😜

🔴Alichokisema Manara baada ya Simba kuifunga Asante kotoko ya Ghana(4-2) "Mke'Bora niangalie ile ya😜 Magoli yote Simba vs Asante kotoko (1-1) | Mechi ya kimataifa ya kirafiki Highlights 🔴Live:Simba Sc vs Asante Kotoko | Mechi ya Kirafiki Leo kutoka Khartoum Sudan 2022! 🔴Alichokisema Manara baada ya Taifa Stars kufungwa na Uganda (0-1) "Mungu Marehemu mzee wa chapati" Goli la Mutiaba Tanzania vs Uganda (0-1)| CHAN Qualifiers central east zone Highlights Tanzania vs Uganda (0-0)| Kosa Kosa za timu zote Chan Qualifiers central east zone Highlights 🔴Live:Tanzania vs Uganda | Chan Qualifiers Central East Zone (Mkapa Stadium) 🔴Live! Simba queens vs She Corporates Fc | Final ligi ya mabingwa Afrika (Cecafa) 🔴Breaking:Yanga wamvaa Rais TFF WALLACE KARIA "Hufai kuwa Kiongozi" ubaguzi/Uonevu watajwa,ajiuzuru! 🔴Kocha Wa Yanga Nabi awashamoto kambini awapika wachezaji upya Atoa Tamko Wapinzani kazi wanayo 🔴Alichokisema Manara kuhusu Aziz Kii wa Yanga "Huyu ndie mchezaji mwenye kipaji kikubwa Tz" Makolo!! 🔴kocha Yanga Aitamani Rekodi ya Simba Robo Fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika, Atoa Tamko tutafika!! 🔴Live Video:Tazama mazoezi ya Predator Fiston Mayele😳! Ni balaa wanaofatia wajipange..!! 🔴Kimeumana! Huko beki kisiki Joash ONYANGO avunja mkataba na Simba rasmi anatua jangwani ni balaa!! Yanga vs Transit Camp Fc (4-0) | Magoli ya Meyele, Aziz Ki,Djuma :Mechi ya Kirafiki Highlights 🔴Saido Ntibazonkiza Atua Tanzania! Kucheza tena Ligi kuu,afunguka kila kitu Timu iliyomsajili hii!! 🔴Breaking:Wapinzani Wa Yanga kimataifa Zalan Fc ya Sudan Kusini Wajitoa! Yanga kuanzia hatua h!!! 🔴Breaking:Rasmi CAF watoa tamko wabadiri ratiba ya Klabu bingwa Yanga, Simba kuchezea tarehe hii..!! 🚨Kimeumana! Wapinzani wa Yanga Kimataifa Klabu bingwa Zalan Fc ya Sudan kusini,Watangaza hatari..!! 🔴Balaa zito Mshambuliaji Lobi Manzoki Afunguka kila kitu kuhusu aliposajiliwa aitaja Yanga sio Simba 🚨Oscar Oscar Afichua Yanga wamalizana na mchezaji Hatari Cesar Lobi Manzoki, Injinia Kamaliza mchezo 🚨TFF watoa Tamko zito! wamfungia Mwamuzi Raphael Ikambi baada ya kushindwa mchezo Coastal vs Yanga 🔴KIPYENGA CHA MWISHO:Osman Kazi Alivyotoa Utata! Matukio haya,Rafu mbaya za makusudi,Goli si halali 🔴Alichokisema Manara baada Yanga kuifunga Coastal union (2-0)"Makolo na TFF labda wanipige Risasi tu Magoli yote Coastal Union vs Yanga (0-2)| Ligi kuu ya Nbc Tanzania Highlights Goli la Morrison 04' Coastal Union vs Yanga (0-1)| Ligi kuu ya NBC Tanzania Highlights 🔴Live! Coastal Union vs Yanga Sc | Ligi kuu ya NBC Tanzania (NBCPL) 🔴Alichokisema Manara kuhusu Yanga kumsajili Cesar Lobi Manzoki baada ya mchezo huu!"SISI NI VITENDO" 🔴Breaking:Yanga Watangaza msiba mzito hili ni Pigo! Baada ya Ajali mbaya waliopata mashabiki,nivilio 🚨Pigo zito kwa Yanga wachezaji hawa saba (07) Kuikosa Coastal Union Kesho! Mchezo wa Ligi kuu..!! 🔴Yanga na Simba zaingia vitani kisa Morice Chukwu kutoka Nigeria, Manara Afunguka kocha wa mchongo!! 🚨Yanga wazua balaa Utambulisho wa Lobi Manzoki kutangazwa baada ya mechi hii!Msimu waachi kitu "GSM" 🔴Rasmi Yanga wakamilisha usajili wa Lobi Manzoki watoa Mil 460 kuipindua Simba,GSM balaa!Utambulisho 🔴Breaking:Yanga Wasimamisha nchi Utambulisho huu ni balaa,Hatujamaliza Cesar Manzoki atua!Mwingine.! 🔴Yanga Watangaza kumtambulisha mbrazir wao mpya Federico Da Silva Jr, Winga hatarii,wazua bala Tazam 🔴Kimeumana! Manara Afunguka mazito viongozi wa TFF wote ni Simba "Kwa Uhuni huu watapotezea"Timu yao 🔴Breaking:TFF watoa Tamko zito wafungia Henock Inonga Wa simba na Mwamuzi Heri Sasi,Rafu hatarishi!! 🔴Breaking:Yanga watoa Tamko zito kwa TFF "Uhuni usio vumilika" Rafu ya Inonga ni mauaji,Afungiwe KIPYENGA CHA MWISHO! Osman Kazi Alivyotoa Utata! Goli la Offside la Simba,Inonga alistaili Redcard 🔴Alichokisema Manara baada ya Yanga kuifunga Simba (2-1)Ngao ya Jamii "Makolo Tutawapataka hadi lini Goli la pili la Mayele balaa Yanga vs Simba (2-1)|Final Community shield Darby Highlights Magoli yote Yanga vs Simba (1-1)| Final Community shield Cup Darby Highlights Goli la Sakho 15'min Yanga vs Simba (1-0)| Final Ngao ya Jamii Darby ya Kariakoo Highlights | Darby ya Kariakoo Fainali Kombe la Ngao ya Jamii (Mkapa Stadium) Highlights 🔴Live:Yanga Sc vs Simba Sc | Ngao ya Jamii Darby(Kombe) :Mkapa Stadium 🔴Kocha Nabi Atangaza kikosi cha kwanza kitakachoanza leo dhidi ya Simba (Ngao ya Jamii) kwa mkapa 🔴Mazoezi ya Mwisho ya Yanga ni balaa kuelekea Mchezo wa Darby Simba wajipange Tazama hapa,BM3,Aziz k 🔴Imefichuka usajili wa Mbrazir Yanga Da Silver Jr Frederico Wamemaliza kila kitu,anaekwamisha nihuyu 🔴TFF watoa Tamko zito kwa Yanga, Yanga naowajibu mapigo watuma barua kwa Rais TFF "unawabeba Simba" 🚨TFF watoa Tamko zito Wanaopokea Wageni mechi za Kimataifa Marufuku! Manara ashindwa kuvumilia asema #SimbaSc #Ahsantekotoko #CAFCL #NBCPL #CAF #JwanengGalaxy #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #Bingoonlinemedia #DiamondPlatnumz #Oil



SIMBA KUPEWA POINT 3 ZA MEZANI BAADA YA EL MERREIKH KUCHEZESHA WACHEZAJI WENYE ADHABU,C.E.O AFUNGUKA
SIMBA KUPEWA POINT 3 ZA MEZANI BAADA YA EL MERREIKH KUCHEZESHA WACHEZAJI WENYE ADHABU,C.E.O AFUNGUKA

Nimepata taarifa za El Merreikh kujumusha wachezaji 3 kwenye mechi vs Simba ingawa walifungiwa miezi 6 baada kusaini kandarasi na vilabu 2 tofauti (El Hilal na El Merreikh) wachezaji hao ni Mohamed AlRashed Mahamoud, Ramadan Agab, Baljit Khamis Mohamed Kwa mujibu wa kanuni ya CAF ya VI(10) timu itakayochezesha mchezaji asiye halali itapoteza mchezo na kuondolewa mashindanoni 👉 Kwa mujibu wa barua ambayo El Merreikh waliyopewa ni wazi kuwa walichezesha wachezaji ambao hawakustahili Hivyo Simba wana haki ya kwenda kushtaki CAF SIMBA huenda ikapata ushindi wa mezani dhidi ya Al Merrikh kutokana na timu hiyo ya Sudan kudaiwa kuwatumia wachezaji wawili ambao hawakupaswa kucheza katika mchezo baina yao uliochezwa jijini Khartoum, Jumamosi iliopita ambao uliisha kwa sare tasa. Taarifa za uhakika ambazo uongozi wa Simba umedai kuzinasa kutoka Sudan kwa ushahidi wa nyaraka mbalimbali, zimeonyesha kuwa wachezaji hao Ramadan Agab na mwingine ambaye jina lake wanalisaka, walicheza mechi hiyo huku wakiwa wanatumikia adhabu ya kufungiwa miezi sita waliyopewa na Chama cha Soka Sudan (SFA) Ushahidi wa barua ambao Simba wameupata na kuionyesha Mwanaspoti nakala, unaonyesha kuwa SFA iliwafungia wachezaji hao kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kusaini mikataba katika timu mbili tofauti, adhabu ambayo inaishia katikati ya Aprili "Hii ni nakala ya uamuzi. Kimsingi wachezaji hao wawili walisaini mikataba miwili tofauti na Al Merrikh na Al Hilal na wamefungiwa kucheza kwa muda wa miezi sita. Barua hii ni ya Katibu Mkuu wa Al Merrikh ambayo walimpa kocha kwamba anaweza kuwatumia wachezaji wawili waliofungiwa. Wachezaji hao hawakucheza mechi yoyote ya Al Merrikh hadi sasa. Wamefungiwa kucheza hadi katikati ya Aprili. Wamefanya uamuzi wao wenyewe," alisema mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Ikiwa itabainika ni kweli Al Merrikh waliwachezesha wachezaji ambao hawakustahili kucheza, itaondolewa mashindanoni "Timu itakayomchezesha mchezaji aliyesimamishwa au asiyeruhusiwa itahesabika imepoteza mchezo husika na moja kwa moja itaondolewa mashindanoni ikiwa kamati ya mashindano ya Caf itajiridhisha na hoja zitakazowasilishwa," inasema kanuni ya saba.



SUDAN VS GHANA:BLACK STARS ARRIVE IN KHARTOUM, 2 TEST C0VID POSITIVE &NIGERIA READY FOR SIERRA LEONE
SUDAN VS GHANA:BLACK STARS ARRIVE IN KHARTOUM, 2 TEST C0VID POSITIVE &NIGERIA READY FOR SIERRA LEONE

THE GHANA BLACK STARS HAVE LANDED IN SUDAN KHARTOUM AHEAD OF THEIR GAME IN MATCHDAY 4 OF THE AFCON 2022 QUALIFIERS. IT HAS BEEN REVEALED HOWEVER THAT CAPTAIN OF THE SIDE ANDRE AYEW IS WITH SWANSEA NOW WHILST RAZARK ABALORA, JOSEPH ATTAMAH AND 2 MEMBERS OF THE TECHNICAL TEAM TEST POSITIVE FOR COVID NIGERIA ARE ALSO LOOKING TO MAKE AMENDS AFTER LETTING IT SLIP VS SIERRA LEONE #SAHARAFOOTBALL #SUDANVSGHANA BUY MERCH HERE: https://teespring.com/stores/sahara-football-merch Thanks for watching... Link to 2nd channel: Sahara Football Beta - YouTube http://bit.ly/2N43sez Socials Twitter: @kwakufiawoyi & @saharafootball Facebook: Sahara Football WEBSITE: http://saharafootball.net FOR SPONSORSHIP AND PROMOTIONS... CONTACT: sellssi@gmail.com



GHANA 2-0 SUDAN - AFCON 2021 QUALIFIERS
GHANA 2-0 SUDAN - AFCON 2021 QUALIFIERS

Andre Ayew stood out as the hero for Ghana as they defeated Sudan 2-0 on matchday three of the Africa Cup of Nations (AFCON) qualifiers on Thursday evening. The Black Stars skipper scored in each half to ensure that coach Charles Akonnor won his first competitive game as Ghana coach. Ayew curled a free-kick into the top corner to open the scoring almost halfway through the first half. The 30-year-old went on to double his tally after a brilliant individual effort as he beat three players before curling the ball into the net. Sudan would be disappointed they failed to get on the scoresheet but have themselves to blame because they were profligate. They had moments in the game but failed to capitalise due to bad decision making in front of goal. Black Stars remain top of Group C with 9 points after playing three games. They are six points ahead of second-placed South Africa, who host Sao Tome and Principe on Friday. After a slow start, the four-time AFCON winners found the breakthrough in the 19th-minute courtesy Swansea City vice-captain. Ayew expertly converted a direct free-kick from just outside the area after the ball struck the hand of Sudanese defender. The Black Stars created a number of opportunities afterwards but were unable to find the net. Samuel Owusu, in particular, failed to beat goalkeeper Ali Eshrein. Before halftime, Sudan had a penalty appeal waved away by the referee, sparking an angry reaction from their coach Hubert Velud. The French trainer received a yellow card for challenging the officials. Andre headed one in before the end of the half but his goal was ruled out for an apparent foul. Sudan started the second half well, controlling the game in the first 15 minutes and looked likely to score but Ghana took charge and were duly rewarded with the second goal. With 10 minutes to end proceedings, Andre showed brilliant skill to glide past three players to curl his effort past the outstretched arm of the Sudan keeper. Akonnor’s side next assignment is on November 17 against Sudan in Khartoum. Black Stars will all but secure qualification to the tournament if they beat Falcons of Jediane.



ASANTE KOTOKO ARRIVE IN SUDAN FOR CAF CONFEDERATION CUP GAME
ASANTE KOTOKO ARRIVE IN SUDAN FOR CAF CONFEDERATION CUP GAME

Asante Kotoko touched down on Sudanese soil in the wee hours of Friday ahead of Sunday's Confederation Cup Group C opener against Al Hilal. The squad landed at the Khartoum International Airport at 03:20, having flown from the Addis Ababa Bole International Airport in Ethiopia at about 12 midnight East African time (EAT). The Porcupines were met at the airport by a delegation from the Sudanese Football Federation. The Sudanese officials assisted the players and officials to go through the arrival security checks before leading them to their hotel in Khartoum.



12.05.2012::CAF / LDC-8E RETOUR::AL MERREIKH VS TP MAZEMBE::INTERVIEWS
12.05.2012::CAF / LDC-8E RETOUR::AL MERREIKH VS TP MAZEMBE::INTERVIEWS

12 Mai 2012 Merreikh Stadium / Khartoum - Soudan CAF Ligue des champions - 8e Retour Al Merreikh VS TP Mazembe Interviews après le match - Chairman Moïse KATUMBI - Madame Carine KATUMBI - Constant Omari, Président FECOFA (Fédération Congolaise de Football Association)




Next »


Popular Tags

#Football Skills  #Amazing Solo Goals  #Golden State Warriors  #Boston Celtics  #Best Goals Ever  #Zlatan Ibrahimovi  #Shaquille O'Neal  #Chicago Bulls  #Russell Westbrook  #Kyrie Irving  

Popular Users

#ATLHawks  #UKCoachCalipari  #normmacdonald  #cnnbrk  #josecanseco  #instagram  #billbarnwell  #MariaSharapova  #BMcCarthy32  #si_vault  #neymarjr  #britneyspears  #BizNasty2point0  #katzm