KAULI YA KWANZA YA MAYELE BAADA YA KUSHINDWA KUPINDUA MEZA SUDAN by @Millard Ayo - Post Details

KAULI YA KWANZA YA MAYELE BAADA YA KUSHINDWA KUPINDUA MEZA SUDAN

Kikosi cha Yanga SC kimewasili leo jijini Dar es Salaam kikitokea Khartoum Sudan ambapo ilikwenda kucheza mchezo wa marudiano wa round ya kwanza dhidi ya Al Hilal ya Sudan, Yanga wameondolewa kwa kufungwa goli 1-0 hivyo wameaga michuano hiyo kwa aggregate ya 2-1, Yanga wanarejea Dar es Salaam wakisubiria kucheza play off ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya November 2 & 9 2022.

Similar Posts!