🛑LIVE:SIMBA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA MSIMU HUU, SIMBA MPYA BALAA
🛑LIVE:SIMBA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WOTE WAPYA WALIOSAJILIWA MSIMU HUU, SIMBA MPYA BALAA

#Simbasc #wachezajiwapyasimbasc #Ahmedally WACHEZAJI WAPYA WALIOSAJILIWA SIMBA MSIMU HUU 2026/2027 Waliosajiliwa 1. Kaletso Makgalwa Winga kutoka Shekukune 2.Serge Badjo kutoka Ivory Coast Mlinzi wa kati Sababu ni Rushine injury aliyopata fainal dhidi ya Azam CRDB imemfanya atachelewa kurejea uwanjani 3. Ibraheem Jabaar kiungo kutoka Stellenbosch alifanya kazi na Steve Berker 4. Nathaniel chilambo kutoka Azam FC ameshatambulishwa ndiye mrithi wa Kapombe Simba 5. Kelvin Nashon kutoka Singida BS ila alikuwa Kwa Mkopo Pamba Jiji 6.Bakari Msimu kutoka Coastal Union 7. Ismail Mgunda Mshambuliaji kutoka Mashujaa 8.Seleman Mwalimu imeshindikana kusajiliwa mazima kutoka wydad kutokana na wydad kutaka mpunga mrefu ila Simba wamekubaliwa kwenye Mkopo wa msimu mzima hivyo Seleman Mwalimu atasalia tena Simba Kwa Mkopo . Wanatazamwa kwenye kagame cup wakikidhi wanasajiliwa mazima 9. Ibrahim Doumbia Mshambuliaji raia Wa Mali, Ibrahim Doumbia amesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao una kipengele cha kuongeza miaka miwili baadae katika klabu ya Simba Sc ya Tanzania. Doumbia alikuwa mfungaji Bora wa Ligi ya Mali Msimu ulopita akiwa na mabao 17. Simba hawataki kucheza kamali ya kumpa mkataba wa muda mrefu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22, wakihofia akifeli na gharama za kuvunja mkataba. Doumbia msimu uliopita:- 🏆 Mfungaji bora wa Msimu 🏆 Mchezaji bora wa Msimu 🏆 Mchezo bora chipukizi wa Msimu. 🏆 Alikuwepo kwenye kikosi Bora cha msimu. DEAL OFF Ramadhan Chobwedo Winga kutoka TRA United amefeli vipimo vya afya Simba Dili lake limekufa rasmi Mpaka sasa Simba Sports Club imeachana na wachezaji wengi kuelekea msimu ujao. Je ni nani hakustahili kupewa Gudubaiii hapa utaniambia kwenye uwanja wa Comment hapo chini. 1. Chamou Karaboue. 2. Naby Camara. 3. Edwin Balua. 4.Joshua Mutale. 5. Awesu Awesu. 6. Omari Omari. 7. Moussa Camara. 8. Mzamiru Yassin 9. Ladack Chasambi 10. Jonathan Sowah 11. Mohamed Bajaber 12. Salehe Karabaka Mkopo Pamba Jiji 13. Valentino Mashaka Mkopo JKT Tanzania



SEMAJI AHMED ALLY ATAJA SABABU ZA KIKOSI KWENDA CECAFA/ASIFIA JEZI MPYA
SEMAJI AHMED ALLY ATAJA SABABU ZA KIKOSI KWENDA CECAFA/ASIFIA JEZI MPYA

SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 📱 Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi



AMBOKILE AWEKA WAZI USAJILI WA YAO KWASI KWENDA SIMBA SC/YANGA WANAKIWA KUWA NA KIKOSI BORA
AMBOKILE AWEKA WAZI USAJILI WA YAO KWASI KWENDA SIMBA SC/YANGA WANAKIWA KUWA NA KIKOSI BORA

If you enjoy this video please give a like and subscribe for more videos like this. Follow us on istagram Ava tv..



CHRISTINA MWAGALA ATEMA CHECHE "DIARRA SIO KIPA BORA/TUKIPIMA DNA KUNA TIMU ZINASHUKA DARAJA,AMONOME
CHRISTINA MWAGALA ATEMA CHECHE "DIARRA SIO KIPA BORA/TUKIPIMA DNA KUNA TIMU ZINASHUKA DARAJA,AMONOME

Afisa Habari wa TRA Christina Mwagala akizungumzia maandalizi ya kikosi kuelekea kumalizaka kwa msimu.



🔴#LIVE_ GOD YANGA AFOKA VIBAYA MNO UJENZI WA UWANJA WA YANGA "ENG.HERSI SI YUPO KWANI HUMUULIZI?
🔴#LIVE_ GOD YANGA AFOKA VIBAYA MNO UJENZI WA UWANJA WA YANGA "ENG.HERSI SI YUPO KWANI HUMUULIZI?

#keepwatchingmavalatv LIVE MATCH MILLARD AYO MAGOLI YOTE HAPA ALLY KAMWE GOD YANGA AHMED ALLY AZAM TV HAJI MANARA MAGOLI YA DUBE CHADEMA UCHAGUZI CHADEMA TUNDULISU MAGOLI YA AZIZ KI #SimbaVSBisharaUnited#Simba#Yanga#YangaVSKageraSugar#BerkaneVSSimba#Challenge#TryNotToLaugh#Mayele#YangaVSMtibwa#LiveMatch#AllyMayay#MtibwaVSYanga#BerkaneVSSimba##AllyMayayTembele#YangaTv#SIMBA##KibwanaShomari#Yanga#Simba#Yanga#SimbawalivyoondbuziWRuvuShootingVsSimba#YangaVSBiasharaUnited#YangaVSBiashara#AzamTv#Valentine#Sakho#Simba##ASECMIMOSAS#SIMBA#Privaldinho#AllySonso#MsibawaAllySonso#SimbavsAsesmimo#Yanga#Manara#SimbaTv#h#MsheryYanga#barbara#Millard#Mapinduzi#Yanga#AzamFc#PasiMillion##AzamFc#Yanga#mayele #millardayo #magoliyasimba#simba ##millardayo #feitoto #simba #AzamFc#Simba#Yanga#Mkude#ahmedAlly#simba #AzamFc#Sakho#Tepse#MagoliyaSimba#Finalmatch##livestream#mapinduziCup#Yanga#namungo#mayele#mapinduziCup#simbavsnamungolive #yangavsazamfclive #vitukovyamorison #usajilisimba #denisnkane #chama #manara #yanga #sakho #HajiManara #Mapinduzicup#dennisnkane #yangazanzibar #simbazanzibar #allykamwe #uchambuziwaallykamwe #usajilimpya #morison #vitukovyamorrison #MenejawaSimbaSC#PatrickRweyemum#SimbaUsajili#Yanga#Mapinduzi#yanga #simbanjampyawasimba #simba #jktTanzania #mackyanga #wachezajiwasimbawauguakagera #simba#Magoliyoteyanga #uchambuziyangavsihefu|#AzamSportsFederationCup #simbavsjktTanzaniafullhighlights #GolilakibuDennisleo #mzaramowasimbaleo #mangunguleo #mashabikiwasimba #uwanjampyawasimba #uchambuziwasimbsvsya #hubaleoalhamisi #hubaleoijumaa #juakalileojumatano #juakalileoalhamisi #juakalileoijumaa #kitasaleojumatatu #kitasaleojumanne #kitasaleojumatano #kitasaleoalhamisi #kitasaleoijumaa #bekitatuleojumatat #bekitatuleojumanne #bekitatuleojumatano #bekitatuleoalhamisi #bekitatuleoijumaajumapili #desireLeojumatatu #desireleojumanne #desireleojumatano #Ndoanoleousikujumamosi #Ndoanoleousikujumapili huba leo jumatatu huba leo jumanne huba leo jumatano huba leo alhamisi SIMBA YANGA GEITA GOLD LUSAJO HUU BOCCO MAYELE BIGIRIMANA MORRISON AZIZ KI GSM YANGA POLISI TANZANIA NAMUNGO JKT TANZANIA MTIBWA SUGAR DODOMA JIJI KMC KIFARU MBEYA CITY IHEFU TANZANIA PRISON ASUKILE KIBWANA ZIMBWE INONGA MZARAMO PASS MILION MAKAME YANGA KIGELEGELE MARK YANGA GOD YANGA FULL HIGHLIGHTS ALL GOALS BUMBULI BARBARA DIARRA BANGALA AUCHO SURE BOY SAKHO MOSES PHIRI BARAKA MPENJA MAVALA TV AYOMA LIVE KIKOSI CHA YANGA KIKOSI CHA SIMBA KIBU DENIS MWIGLU NCHEMBA TOZO AZAM TV WASAFI HUBA MANDONGA VITASA LEO JIMMY KINDOKI DAUD YANGA AGGY SIMBA MO WASAFI BIG SUNDAY LIVE AZAMSPORTS 2 HD MWANAMUZIKI BEKI TATU TAMTHILIA MAYELE MZUNGU AHMED ALLY MANARA ALLY KAMWE ALLY MAYAY UCHAMBUZI MAMELOD TP MZAZEMBE SIMBA YANGA BARBARA BUMBULI MO AZIZ KI KIKOSI CHA YANGA KIKOSI CHA SIMBA ALL HILALI PREMIIOR DE AGOST GLOBAL TV GLOBAL REDIO UDAKU CONNECTION MAHABA MSUKUMA CHADEMA CCM DIAOMOND AHRMONIZE MEERY ME MARIOO ZUCHU MBOSSO RAYAVVANY BINGO ONLINE SIMBA RICK MEDIA MILLARD AYO MAVALA TV ALL GOALS MANDONGA VITASA MWAKINYO SAMIA WASAFI BIG SUNDAY LIVE EFM OSCAR OSCAR SOKAONLINE YANGA TV SIMBA TV Djoliba (Mli) Dep. Mongomo (Gnq) Kabylie (Alg) Casa (Sen) Al-Hilal Omdurman (Sud) St. George (Eth) Al-Ittihad (Lby) Flambeau du Centre (Bur) Cotonsport (Cmr) Matlama (Les) ASEC Mimosas (Ivo) Coton FC (Ben) Watanga (Lbr) Rivers United (Nga) Asante Kotoko (Gha) Kadiogo (Bfa) Elect Sport (Cha) Zamalek (Egy) Plateau United (Nga) Stade Mandji (Gab) Primeiro de Agosto (Ang) Red Arrows (Zam) AS Vita Club (Drc) Red Arrows (Zam) AS Vita Club (Drc) Gaborone Utd (Bot) Otoho d'Oyo (Con) Cape Town City (Rsa) Monastir (Tun) APR (Rwa) Simba (Tan) Big Bullets (Mal) Nouadhibou (Mrt) Kara (Tog) CR Belouizdad (Alg) Bo Rangers (Sie) Al Ahly Tripoli (Lby) KMKM (Zan) Young Africans (Tan) Zalan (Ssu) Petro Atletico (Ang) Black Bulls (Moz) Horoya (Gui) Hawks (Gam) Royal Leopards (Esw) CFFA (Mad) Vipers (Uga) Olympic Real de Bangui (Caf) Al-Merreikh (Sud) AS Arta (Dji) SOAR (Gui) Nigelec (Nig) Kadiogo (Bfa) Asante Kotoko (Gha) Casa (Sen) Kabylie (Alg) Coton FC (Ben) ASEC Mimosas (Ivo) Gaborone Utd (Bot) AS Vita Club (Drc) Kara (Tog) Nouadhibou (Mrt) Rivers United (Nga) Watanga (Lbr) AS Arta (Dji) Al-Merreikh (Sud) Black Bulls (Moz) Petro Atletico (Ang) CFFA (Mad) Royal Leopards (Esw) Flambeau du Centre Al-Ittihad (Lby) St. George (Eth) Al-Hilal Omdurman (Sud)https://youtu.be/2SGvmNLBqkY Bo Rangers (Sie) CR Belouizdad Nigelec (Nig) SOAR (Gui) Dep. Mongomo (Gnq) Djoliba (Mli) Olympic Real de Bangui (Caf) Vipers (Uga) Matlama (Les) Cotonsport (Cmr)https://youtu.be/F-l1ruBueos Stade Mandji (Gab) Plateau United (Nga)https://youtu.be/1q8ZMHaQGRE APR (Rwa) Monastir (Tun) Big Bullets (Mal) Simba (Tan) Cape Town City (Rsa) Otoho d'Oyo (Con) Hawks (Gam) Horoya (Gui) KMKM (Zan) Al Ahly Tripoli (Lby) Red Arrows (Zam) Primeiro de Agosto (Ang) Zalan (Ssu)




« Previous Next »


Popular Tags

#Russell Westbrook  #Paul Pogba  #Kevin Durant  #Thomas Muller  #Mesut Ozil  #Best Goalkeeper Saves  #Anthony Davis  #Goalkeeper Saves  #New York Knicks  #Neymar  

Popular Users

#oldhossradbourn  #TheNotoriousMMA  #itsBayleyWWE  #KingJames  #NASA  #espn  #realmadrid  #KDTrey5  #baseballpro  #LAKings  #Buster_ESPN  #Joey7Barton  #UKCoachCalipari  #kobebryant  #nfl