Watani wa Jadi, Simba na Yanga wamemaliza ‘derby’ yao bila mshindi wakitoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Huu ni mkusanyiko wa matukio yote muhimu kutoka kwenye mechi hiyo ya kiume.
Mwana FA Afunguka Kinachoendelea Simba! “Namjua Mwenye Makosa” | Ashindwa Kutabiri Mechi ya Yanga
#KariakooDerby. Mfungaji wa bao pekee la Yanga, Zawadi Mauya amefunguka kuhusu goli alilowafunga Simba kwenye mechi ya leo. Sikia walichokisema wachezaji wa Yanga baada ya mechi, mmoja akisema “Akija Rais tu, inakuwa ni nafasi ya Yanga kushinda” FT’: Simba 0-1 Yanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mabingwa wa Kihistoria wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC wamewatandika watani wao wa jadi Simba bao 1-0 katika #KariakooDerby iliyopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Goli pekee la mchezo huo limefungwa na kiungo Zawadi Mauya, dakika ya 12. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Highlights za mechi VPL kati ya Simba na Yanga iliyochezwa tarehe 04/01/2020 Uwanja wa Taifa, Dar Es Salaam. #KariakooDerby #DarDerby #SimbaYanga #SimbaVSYanga #SimbaSC #YangaSC #UwanjaWaTaifa #BalamaMapinduzi #MeddieKagere #MohammedBanka #MoBanka
Azam FC yavutwa shati nyumbani, Mbao yazidi kutamba kileleni; na kuelekea #SuperSunday ya #KariakooDerby Simba SC na Yanga SC zakaa 'mguu sawa'. TFF yatoa tahadhari kwa mashabiki....ni tahadhari gani? Ungana na Ahmed Abdallah ndani ya MSHIKEMSHIKE VIWANJANI.