Content removal request!


Simba SC 0-0 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 11/12/2021

Watani wa Jadi, Simba na Yanga wamemaliza ‘derby’ yao bila mshindi wakitoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Huu ni mkusanyiko wa matukio yote muhimu kutoka kwenye mechi hiyo ya kiume.