MO GREEN VITASA NIGHT: Tazama jinsi ngumi #ndoige kutoka kwa Karim Mandonga ilivyofanya kazi ikimpiga Said Mbelwa TKO raundi katika pambano la raundi sita. Ni #MoGreenVitasaNight #PuchOfFire kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro Novemba 25/11/2022 Hili lilikuwa ni pambano la pili la utangulizi kuelekea pambano kuu kati ya Twaha Kiduku dhidi ya Victor Hugo Exner kutoka Argentina.
Live mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji Vs Yanga
Ni Jumapili iliyopambwa kwa Nakshi za Zabibu na Wananchi wenye Jangwani yao,Ambapo itapigwa Mbungi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Fc dhidi ya Yanga Sc, kwenye Dimba la Jamhuri lililobarikiwa kuwepo kwenye Makao Makuu ya Nchi ya Tanzania ,Jijini Dodoma, Ni Saa kumi Jioni. #MpenjaTv #YangaSc #DodomaJijiFc #DaudiYanga
Yanga SC imeitandika Dodoma Jiji mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo mei 15, 2022 kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamrfungwa na Dickson Ambundo dakika ya 13 na lingine la kujifunga kutoka kwa golikipa wa Dodoma Jiji, Mohamed Yusuph dakika ya 35. Katika mchezo huo pia Dodoma Jiji wamepata pigo kwa kiungo wao Hassan Nassor Maulid kutolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu kiungo wa Yanga, Yannick Bangala.
Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo
Timu ya taifa ya Tanzania #TaifaStars imeitandika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA uliochezwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Tanzania yamefungwa na Novatus Dismas dakika ya 10, Mbwana Samatta dakika ya 63 na George Mpole dakika ya 90 huku CAR wakipata bao lao kwa mkwaju wa penati dakika ya 66.