SIMBA SC 8-1 COASTAL UNION: FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 08/05/2019)
SIMBA SC 8-1 COASTAL UNION: FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 08/05/2019)

Mnyama Simba SC amepata ushindi wa kishindi kwa kuipiga Coastal Union mabao 8-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam. Mchezo huo pia umeshuhudia zikipatikana hat-trick mbili kwa mara ya kwanza kwenye ligi hiyo msimu huu, moja ikitoka kwa Emmanuel Okwi akifunga dakika za 11, 20 na 47 huku nyingine ikipigwa na Meddie Kagere dakika za 67, 75 na 83. Mabao mengine yamefungwa Hassan Dilunga dakika ya 81 na Clatous Chama dakika ya 90+3 huku bao pekee la Coastal likifungwa na Raizin Haidh dakika ya 35. Ushindi huo sasa umeiweka Simba kileleni ikifikisha pointi 81 na kuishusha Yanga yenye pointi 80 huku Azam ikifuatia ikiwa na pointi 67.



MAGOLI YOTE YA SIMBA VS COASTAL UNION 8 -1
MAGOLI YOTE YA SIMBA VS COASTAL UNION 8 -1

MAGOLI YOTE YA SIMBA VS COASTAL UNION 8 -1 Simba imeitwanga Coastal Union kwa mabao 8-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Pamoja na ushindi wake mnono, washambuliaji wake wawili, Emmanuel Okwi na Meddy Kagere kila mmoja amefunga mabao matatu, yaani hat trick. Kwa mabao hayo, Kagere amefikisha mabao 20 msimu katika ligi kuu huku Okwi akifikisha 14 na kulingana na nahodha wa Simba, John Bocco aliyekuwa benchi katika mechi ya leo. Mabao mengine yalifungwa na Hassan Dilunga na Clatous Chama raia wa Zambia na kuifanya Simba iandike ushindi huo mnono zaidi. Kwa ushindi wa leo, Simba imefikisha pointi 81 na kupaa kileleni ikiwaacha Yanga wenye pointi 80 waliokuwa wamekaa kileleni kwa muda mrefu zaidi. Yanga wamecheza 34 huku Simba wakiwa wamefikisha mechi 31 baada ya kucheza mechi yao ambayo wametoa kipigo kikali kwa Wagosi wa Kaya. #SIMBAVsCOASTALUNION https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



Hat-Trick mbili ndani ya mechi moja, Okwi na Kagere waweka rekodi, kila mmoja aondoka na mpira wake
Hat-Trick mbili ndani ya mechi moja, Okwi na Kagere waweka rekodi, kila mmoja aondoka na mpira wake

SIMBA SC 8-1 COASTAL UNION: Timu ya Simba hii leo imepanda hadi nafasi ya kwanza kwenye msimamo ligi kuu soka Tanzania bara baada ya kupata ushindi wa bao 8-1 dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo uliochezwa katika uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaaam. Huu ni mshindi mkubwa zaidi katika ligi baada ya muda mrefu lakini rekodi mpya imeandikwa kwa wachezaji wawili wa timu moja katupia Hat-trick. Emmanuel Okwi amefunga magoli matatu na kumfanya afikishe mabao 14 msimu huu, wakati Hat-trick nyingine ya Meddie Kagere imemuongezea kasi kwenye msimamo wa wafungaji akifikisha mabao 20 kileleni akiwazidi wanaomfuatia kwa mabao manne. Mabao mengine ya Simba kwenye mchezo wa leo yamefungwa na Hassan Dilunga pamoja na Clatous Chama wakati lile la kufuatia machozi kwa Coast likifungwa na Raizin Hafidh



Simba sc 8-0 Coastal Union, Okwi, Kagere, Chama na Dilunga ni balaa
Simba sc 8-0 Coastal Union, Okwi, Kagere, Chama na Dilunga ni balaa

#simbasc #magoliyasimba #tpl #okwi #kagere SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



OKWI , KAGERE Waongoza KIKOSI cha MAANGAMIZI SIMBA VS COASTAL UNION
OKWI , KAGERE Waongoza KIKOSI cha MAANGAMIZI SIMBA VS COASTAL UNION

OKIW , KAGERE Waongoza KIKOSI cha MAANGAMIZI SIMBA VS COASTAL UNION Simba imeitwanga Coastal Union kwa mabao 8-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Pamoja na ushindi wake mnono, washambuliaji wake wawili, Emmanuel Okwi na Meddy Kagere kila mmoja amefunga mabao matatu, yaani hat trick. Kwa mabao hayo, Kagere amefikisha mabao 20 msimu katika ligi kuu huku Okwi akifikisha 14 na kulingana na nahodha wa Simba, John Bocco aliyekuwa benchi katika mechi ya leo. Mabao mengine yalifungwa na Hassan Dilunga na Cleotus Chama raia wa Zambia na kuifanya Simba iandike ushindi huo mnono zaidi. Kwa ushindi wa leo, Simba imefikisha pointi 81 na kupaa kileleni ikiwaacha Yanga wenye pointi 80 waliokuwa wamekaa kileleni kwa muda mrefu zaidi. Yanga wamecheza 34 huku Simba wakiwa wamefikisha mechi 31 baada ya kucheza mechi yao ambayo wametoa kipigo kikali kwa Wagosi wa Kaya. #SIMBAVsCOASTALUNION https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



Simba Watua Kibabe Uhuru Kuifunga 8-1 Costal Union
Simba Watua Kibabe Uhuru Kuifunga 8-1 Costal Union

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Simba imeitwanga Coastal Union kwa mabao 8-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Pamoja na ushindi wake mnono, washambuliaji wake wawili, Emmanuel Okwi na Meddy Kagere kila mmoja amefunga mabao matatu, yaani hat trick. Kwa mabao hayo, Kagere amefikisha mabao 20 msimu katika ligi kuu huku Okwi akifikisha 14 na kulingana na nahodha wa Simba, John Bocco aliyekuwa benchi katika mechi ya leo. Mabao mengine yalifungwa na Hassan Dilunga na Cleotus Chama raia wa Zambia na kuifanya Simba iandike ushindi huo mnono zaidi. Kwa ushindi wa leo, Simba imefikisha pointi 81 na kupaa kileleni ikiwaacha Yanga wenye pointi 80 waliokuwa wamekaa kileleni kwa muda mrefu zaidi. Yanga wamecheza 34 huku Simba wakiwa wamefikisha mechi 31 baada ya kucheza mechi yao ambayo wametoa kipigo kikali kwa Wagosi wa Kaya. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



KOCHA MBEYA CITY Atoa POVU Baada ya Matokeo MBEYA CITY VS SIMBA 1 -2
KOCHA MBEYA CITY Atoa POVU Baada ya Matokeo MBEYA CITY VS SIMBA 1 -2

KOCHA MBEYA CITY Atoa POVU Baada ya Matokeo MBEYA CITY VS SIMBA 1 -2 KOHA Mkuu wa Mbeya City, Ramadhan Nsanzurwimo amesema kuwa hawajafungwa na Simba bali wamefungwa na waamuzi wa mchezo ambao wameshindwa kutimiza sheria 17. Mbeya City wamepoteza mchezo wa leo kwa kufungwa mabao 2-1 licha ya kuanza kutangulia kufunga kipindi cha kwanza kupitia kwa Iddy Nado ambaye alitumia makosa ya mabeki wa Simba waliokuwa wakikaba kwa macho. Nsanzurwimo amesema kuwa hajajua sababu ya faulo ya pili ambayo Simba wamepewa licha ya kuutazama mchezo kwa umakini hali iliyofanya wapoteza mchezo wao. "Hii ni kazi ya mtu, sasa kama inatokea mtu mwingine anaiharibu kwa makusudi hii sio sawa, ilikuwa ni lazima tushinde na tulipambana kweli matokeo yake Simba inashinda mabao 2-1 siamini kama nimefungwa na Simba bali nimefungwa na waamuzi. "Najua Simba ni timu kubwa ila haipaswi kupewa kipaumbele kila mara hata kama inakosea, ukitazama mabao yao na namna ambavyo wamefunga sina namna ya kukubali na kuwaomba waamuzi wawe makini wakati mwingine, vijana wangu wamechoka kwa kupambana kisha haki yao inapotea," amesema. Mabao ya Simba ya leo yote mawili yalifungwa kwa kutengenezwa na adhabu ambapo lile la kwanza lilifungwa na Jonas Mkude baada ya Emmanuel Okwi kuchezewa rafu na la pili lilifungwa na Meddie Kagere baada ya Hassan Dilunga kuchezewa faulo. https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho



DILUNGA ATANGAZA KUOMBA RADHI JKT TANZANIA
DILUNGA ATANGAZA KUOMBA RADHI JKT TANZANIA

Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Simba, Hassan Dilunga, amewaomba radhi viongozi na mashabiki wa JKT Tanzania baada ya kuwafunga jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. #Simba #JktTanzania




« Previous Next »


Popular Tags

#Paul Pogba  #Gareth Bale  #Chris Paul  #Best Goals Ever  #Michael Jordan  #Paul George  #Manuel Neuer  #Ronaldinho  #Goalkeeper Saves  #Kawhi Leonard  

Popular Users

#JLo  #RobGronkowski  #TheCUTCH22  #steveaustinBSR  #floydmayweather  #BadgerMBB  #StephenCurry30  #Kaepernick7  #CMPunk  #rihanna  #Ky1eLong  #MieshaTate  #Oprah