MAGOLI YOTE YA SIMBA VS COASTAL UNION 8 -1 by @Global TV Online - Post Details

MAGOLI YOTE YA SIMBA VS COASTAL UNION 8 -1

MAGOLI YOTE YA SIMBA VS COASTAL UNION 8 -1 Simba imeitwanga Coastal Union kwa mabao 8-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Pamoja na ushindi wake mnono, washambuliaji wake wawili, Emmanuel Okwi na Meddy Kagere kila mmoja amefunga mabao matatu, yaani hat trick. Kwa mabao hayo, Kagere amefikisha mabao 20 msimu katika ligi kuu huku Okwi akifikisha 14 na kulingana na nahodha wa Simba, John Bocco aliyekuwa benchi katika mechi ya leo. Mabao mengine yalifungwa na Hassan Dilunga na Clatous Chama raia wa Zambia na kuifanya Simba iandike ushindi huo mnono zaidi. Kwa ushindi wa leo, Simba imefikisha pointi 81 na kupaa kileleni ikiwaacha Yanga wenye pointi 80 waliokuwa wamekaa kileleni kwa muda mrefu zaidi. Yanga wamecheza 34 huku Simba wakiwa wamefikisha mechi 31 baada ya kucheza mechi yao ambayo wametoa kipigo kikali kwa Wagosi wa Kaya. #SIMBAVsCOASTALUNION https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Similar Posts!

NASSORO KAPAMA "KUINGIA KWA DOUMBIA NDIO KUMETUFANYA TUPOTEZE MCHEZO" - AMKUBALI NI MCHEZJI MZURI
NASSORO KAPAMA "KUINGIA KWA DOUMBIA NDIO KUMETUFANYA TUPOTEZE MCHEZO" - AMKUBALI NI MCHEZJI MZURI

NASSORO KAPAMA "KUINGIA KWA DOUMBIA NDIO KUMETUFANYA TUPOTEZE MCHEZO" - AMKUBALI NI MCHEZJI MZURI ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com



AHMED ALLY BAADA YA DROO ATAMBA-"KOCHA BAKER SIMBA HAONDOKI YUPO SANA AGUSIA USAJILI MPYA KIMATAIFA"
AHMED ALLY BAADA YA DROO ATAMBA-"KOCHA BAKER SIMBA HAONDOKI YUPO SANA AGUSIA USAJILI MPYA KIMATAIFA"

AHMED ALLY BAADA YA DROO ATAMBA-"KOCHA BAKER SIMBA HAONDOKI YUPO SANA AGUSIA USAJILI MPYA KIMATAIFA" Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amefunguka kwa hisia na kujiamini mara baada ya droo ya hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) kupangwa jijini Arusha. Ahmed Ally amezungumzia namna walivyopokea kundi lao linalowajumuisha RS Berkane, Orlando Pirates, na Colombe FC, akieleza mikakati ya kuvuna alama na malengo ya kuongoza kundi kuelekea robo fainali. Pia, amejibu uvumi kuhusu Kocha Stephen Becker kuhusishwa kuondoka Simba pamoja na mipango ya dirisha dogo la usajili. Tazama mahojiano haya mwanzo hadi mwisho ujionee uchambuzi wa kina na kauli nzito kutoka kwa msemaji wa Mnyama! #SimbaSC #AhmedAlly #CAFCL #GlobalTVOnline #TotalEnergiesCAFCL #StephenBecker #SokaLaBongo ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com



AHMED ALLY - "KIKOSI CHA SIMBA KIPO TAYARI KWA DABI NA TUTASHINDA" - AGUSIA SAKATA LA UBUNIFU..
AHMED ALLY - "KIKOSI CHA SIMBA KIPO TAYARI KWA DABI NA TUTASHINDA" - AGUSIA SAKATA LA UBUNIFU..

AHMED ALLY - "KIKOSI CHA SIMBA KIPO TAYARI KWA DABI NA TUTASHINDA" - AGUSIA SAKATA LA UBUNIFU.. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com



ITAKUSHANGAZA! UTANI WA MASHABIKI SIMBA NA YANGA MSIBANI KWA MZEE MPILI
ITAKUSHANGAZA! UTANI WA MASHABIKI SIMBA NA YANGA MSIBANI KWA MZEE MPILI

ITAKUSHANGAZA! UTANI WA MASHABIKI SIMBA NA YANGA MSIBANI KWA MZEE MPILI ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com



INJINIA HERSI ATOA KAULI TATA BAADA ya USHINDI DHIDI ya SIMBA - AZIZ KI NDANI KUIANGALIA YANGA YAKE
INJINIA HERSI ATOA KAULI TATA BAADA ya USHINDI DHIDI ya SIMBA - AZIZ KI NDANI KUIANGALIA YANGA YAKE

INJINIA HERSI ATOA KAULI TATA BAADA ya USHINDI DHIDI ya SIMBA - AZIZ KI NDANI KUIANGALIA YANGA YAKE ============================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 453136) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



🔴#LIVE: YANGA SC ( 1 ) VS ( 0 ) SIMBA SC - NGAO ya JAMII - UWANJA wa AMAAN - ZANZIBAR..
🔴#LIVE: YANGA SC ( 1 ) VS ( 0 ) SIMBA SC - NGAO ya JAMII - UWANJA wa AMAAN - ZANZIBAR..

🔴#LIVE: YANGA SC ( 1 ) VS ( 0 ) SIMBA SC - NGAO ya JAMII - UWANJA wa AMAAN - ZANZIBAR.. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



🔴#Live: SIMBA WAFANYA KUFURU SHEREHE za SIMBA DAY - NYOMI LAJAA NJE ya UWANJA wa UHURU..
🔴#Live: SIMBA WAFANYA KUFURU SHEREHE za SIMBA DAY - NYOMI LAJAA NJE ya UWANJA wa UHURU..

🔴#Live: SIMBA WAFANYA KUFURU SHEREHE za SIMBA DAY - NYOMI LAJAA NJE ya UWANJA wa UHURU.. ============================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 453136) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx



KUMEKUCHA! BARAKA YANGA APAGAWA na UZI MPYA wa YANGA JANGWANI -AWAPIGA KIJEMBE SIMBA -"TUNAANZA NAO"
KUMEKUCHA! BARAKA YANGA APAGAWA na UZI MPYA wa YANGA JANGWANI -AWAPIGA KIJEMBE SIMBA -"TUNAANZA NAO"

KUMEKUCHA! BARAKA YANGA APAGAWA na UZI MPYA wa YANGA JANGWANI -AWAPIGA KIJEMBE SIMBA -"TUNAANZA NAO" ============================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 453136) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx