🔴#LIVE: UCHAMBUZI wa MWL KASHASHA - SIMBA vs PLATEAU, Amtaja MZAMIRU, DILUNGA...
🔴#LIVE: UCHAMBUZI wa MWL KASHASHA - SIMBA vs PLATEAU, Amtaja MZAMIRU, DILUNGA...

🔴#LIVE: UCHAMBUZI wa MWL KASHASHA - SIMBA vs PLATEAU, Amtaja MZAMIRU, DILUNGA.. MCHAMBUZI mahiri wa soka,, MWL Kashasha, amechambua mechi ya SIMBA vs PLATEAU UTD, iliyomalizika kwa sare ya bila kufungana... Matokeo hayo yanawapa Simba tiketi ya kufuzu hatua ya pili ya mtoano katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982),  ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR  abbymrisho@gmail.com ⚫️ PLAYLISTS:             ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



KOCHA SIMBA AFUNGUKA BAADA YA KUICHAKAZA COASTAL UNION KWA MABAO 7-0
KOCHA SIMBA AFUNGUKA BAADA YA KUICHAKAZA COASTAL UNION KWA MABAO 7-0

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC leo wameishushia kichapo kikali, Coastal Union ya Tanga baada ya kuibamiza mabao 7-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Ushindi huo unawafanya Wekundu hao wa Msimbazi wafikishe pointi 23, ingawa wanaendelea kubaki nafasi ya tatu wakizidiwa pointi mbili na vinara, Azam FC baada ya wote kucheza mechi 11. Katika mchezo wa leo, Nahodha John Raphael Bocco alifunga mabao matatu peke yake yote kipindi cha kwanza na mengine yakafungwa na viungo Mzambia Clatous Chama mawili, Mghana Bernard Morrison na mzawa Hassan Dilunga, kila mmoja moja. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



COASTAL UNION  VS SIMBA  MAGOLI YOTE 0-7/ VPL 21/11/2020 HIGHLIGHTS
COASTAL UNION VS SIMBA MAGOLI YOTE 0-7/ VPL 21/11/2020 HIGHLIGHTS

SIMBA VS COASTAL UNION 7-0,SIMBA VS COASTAL UNION,COASTAL UNION VS SIMBA,COASTAL UNION VS SIMBA LEO,VPL,LIGI KUU LEO,SIMBA 7 VS COASTAL UNION 0, 21/11/2020 , TANZANIA ,SIMBA LEO, SHEIKH AMRI ABEID ,ARUSHA, MORRISON, BOCCO,CHAMA,DILUNGA,HAT TRICK,,AZAM TV, AZAM MAX ,LIGI KUU LEO,MAGOLI YA SIMBA LEO,COASTAL VS SIMBA LIVE,HASSAN DILUNGA,SOCCER,SOKA,TANZANIA,HIGHLIGHTS, ..................... SUBSCRIBE channel Hii kwa updates mbalimbali kama vile 1.SIMBA VS COASTAL UNION 2.COASTAL UNION VS SIMBA 3.LIGI KUU LEO 4. MAGOLI YOTE COASTAL UNION VS SIMBA COMMENT, LIKE , NA SHARE KUPITIA LINK HAPO CHINI https://youtu.be/WtSX9628qQE



"SIMBA ni MABINGWA, CHAMA Ana UMUHIMU Wake, TULIAMUA Leo Lazima TUSHINDE" - ASHA BARAKA
"SIMBA ni MABINGWA, CHAMA Ana UMUHIMU Wake, TULIAMUA Leo Lazima TUSHINDE" - ASHA BARAKA

"SIMBA ni MABINGWA, CHAMA Ana UMUHIMU Wake, TULIAMUA Leo Lazima TUSHINDE" - ASHA BARAKA DAKIKA 90 za mtanange wa ligi kuu kati ya SIMBA vs MWADUI FC zimemalizika kwa Mnyama kumaliza hasira zake kwa kuwachapa wachimba madini hao (5-0).... Mtanange huo umechezwa katika dimba la Uhuru jijini Dar, leo Oktoba 31, ambapo mabao ya Simba yamewekwa kimiani mawili na nahodha, John Bocco, mengine wamefunga Hassan Dilunga, Said Ndemla na Ibrahim Ajib... Baada ya matokeo hayo mashabiki wa Simba wameonekana kufurahi mno, kutokana na kwamba mechi mbili mfululizo zilizopita Simba wamekuwa wakipoteza hivyo kipigo walichokitoa kwa Mwadui ni kama kimewafuta machozi mashabiki wao... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



Magoli manne, penati mbili Team Kiba ikiigaragaza Team Samatta mechi ya hisani
Magoli manne, penati mbili Team Kiba ikiigaragaza Team Samatta mechi ya hisani

Timu ya Msanii Alikiba leo imepata ushindi dhidi ya timu ya Nahodha wa taifa Stars, Mbwana Samatta katika mchezo wa hisani uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, huku Timu ya Samatta ikikosa penati mbili kupitia kwa Bernard Morrison. Magoli yamefungwa na Ibrahim Ajibu, Mudathir Yahya na Hassan Dilunga huku la kufutia machozi likiwa ni la kujifunga kupitia kwa Mudathir Yahya. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



"DILUNGA Alikua Ananisumbua /SIMBA Timu Kubwa" KIPA MBAO FC
"DILUNGA Alikua Ananisumbua /SIMBA Timu Kubwa" KIPA MBAO FC

KIPA MBAO FC "DILUNGA Alikua Aninisumbua /SIMBA Timu Kubwa" SIMBA leo imebanwa mbavu mbele ya Klabu ya Mbao FC kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, leo Julai 16. Mbao ilianza kuibuka kwenye lango la Simba dakika ya 5 baada ya kipa namba tatu wa Simba, Ally Salim kutema mpira uliokutana na guu la Rajab Rashid dakika ya 5. Iliwabidi Simba wasubiri mpaka dakika ya 35 ambapo waliandika bao la kusawazisha kupitia kwa mshambuliaji wao namba moja Meddie Kagere kwa mkwaju wa penalti. Bao hilo halikudumu kwani Mbao iliongeza msumari wa pili dakika ya 45+2 kupitia kwa Wazir Jr na kuwafanya Simba waende mapumziko wakiwa nyuma kwa mabao 2-1 huku Mbao ndio wakiwa wataalamu wa mchezo. Kipindi cha pili kiungo mshambuliaji wa Simba Miraji Athuman aliweka usawa dakika ya 52 ila bao hilo lilidumu dakika saba wakatunguliwa Simba bao jingine tena dakika ya 59. Jordan John dk 59 alìwanyanyua mashabiki wa Mbao FC na kuwafanya wasepe na pointi tatu mbele ya Simba wakiwatungua mabao mengi kwa msimu huu ambayo ni matatu. Licha ya ushindi huo Mbao FC wanabaki nafasi yao waliyokuwa kabla ya kucheza na Simba ya 19 wakiwa wamecheza mechi 35 kibindoni wana pointi 38 wanapambana kujinasua na hatari ya kushuka daraja. Simba pia wanaongeza idadi ya michezo ya kufungwa na kufikia minne kwa sasa wakiwa pia wamecheza mechi 35 na pointi zao 81 wakiwa tayari ni mabingwa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



MASHABIKI WA SIMBA Waivaa YANGA Baada ya Kuipiga SINGIDA 8 ,Waitaka FA SIMBA VS YANGA.
MASHABIKI WA SIMBA Waivaa YANGA Baada ya Kuipiga SINGIDA 8 ,Waitaka FA SIMBA VS YANGA.

MASHABIKI WA SIMBA Waivaa YANGA Baada ya Kuipiga SINGIDA 8 ,Waitaka FA SIMBA VS YANGA. KIKOSI cha Simba leo kimeibuka na ushindi wa mabao 8-0 mble ya Singida United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Simba iliingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kuchapwa bao 1-0 na Yanga huku Sinigida United ikiwa na kumbukumbu ya kuchapwa bao 2-1 na Tanzania Prisons jambo lililofanya timu zote zcheze kwa kukamiana. Meddie Kagere alifunga mabao manne kwenye mchezo wa leo ambapo alifungua pazia dakika ya 1 kwa pasi ya Tshabalala, dk 25 baada ya kukutana na mpira uliotemwa na kipa dk ya 41 na dk 71 kwa pasi ya Dilunga. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline



KOCHA SIMBA AWAOMBA RADHI SINGIDA UNITED BAADA YA KUWAFUNGA (8 -0)
KOCHA SIMBA AWAOMBA RADHI SINGIDA UNITED BAADA YA KUWAFUNGA (8 -0)

KOCHA SIMBA AWAOMBA RADHI SINGIDA UNITED BAADA YA KUWAFUNGA (8 -0) KIKOSI cha Simba leo kimeibuka na ushindi wa mabao 8-0 mble ya Singida United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Simba iliingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kuchapwa bao 1-0 na Yanga huku Sinigida United ikiwa na kumbukumbu ya kuchapwa bao 2-1 na Tanzania Prisons jambo lililofanya timu zote zcheze kwa kukamiana. Meddie Kagere alifunga mabao manne kwenye mchezo wa leo ambapo alifungua pazia dakika ya 1 kwa pasi ya Tshabalala, dk 25 baada ya kukutana na mpira uliotemwa na kipa dk ya 41 na dk 71 kwa pasi ya Dilunga. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline




« Previous Next »


Popular Tags

#Michael Jordan  #Philadelphia 76ers  #LeBron James  #Paul Pogba  #Kobe Bryant  #Football Defensive Skills  #Shot Goals  #Mesut Ozil  #Best Ball Controls  #Mesut Ozil  

Popular Users

#jimmyfallon  #geniebouchard  #Buster_ESPN  #IAmJericho  #MileyCyrus  #instagram  #RSherman_25  #sportspickle  #TheChristinaKim  #cesc4official  #TheRealJRSmith  #BeingSalmanKhan  #strombone1  #BBCBreaking