Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC leo wameishushia kichapo kikali, Coastal Union ya Tanga baada ya kuibamiza mabao 7-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Ushindi huo unawafanya Wekundu hao wa Msimbazi wafikishe pointi 23, ingawa wanaendelea kubaki nafasi ya tatu wakizidiwa pointi mbili na vinara, Azam FC baada ya wote kucheza mechi 11. Katika mchezo wa leo, Nahodha John Raphael Bocco alifunga mabao matatu peke yake yote kipindi cha kwanza na mengine yakafungwa na viungo Mzambia Clatous Chama mawili, Mghana Bernard Morrison na mzawa Hassan Dilunga, kila mmoja moja. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars