KOCHA SIMBA AWAOMBA RADHI SINGIDA UNITED BAADA YA KUWAFUNGA (8 -0) KIKOSI cha Simba leo kimeibuka na ushindi wa mabao 8-0 mble ya Singida United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Simba iliingia uwanjani ikiwa na kumbukumbu ya kuchapwa bao 1-0 na Yanga huku Sinigida United ikiwa na kumbukumbu ya kuchapwa bao 2-1 na Tanzania Prisons jambo lililofanya timu zote zcheze kwa kukamiana. Meddie Kagere alifunga mabao manne kwenye mchezo wa leo ambapo alifungua pazia dakika ya 1 kwa pasi ya Tshabalala, dk 25 baada ya kukutana na mpira uliotemwa na kipa dk ya 41 na dk 71 kwa pasi ya Dilunga. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline