Timu ya Msanii Alikiba leo imepata ushindi dhidi ya timu ya Nahodha wa taifa Stars, Mbwana Samatta katika mchezo wa hisani uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, huku Timu ya Samatta ikikosa penati mbili kupitia kwa Bernard Morrison. Magoli yamefungwa na Ibrahim Ajibu, Mudathir Yahya na Hassan Dilunga huku la kufutia machozi likiwa ni la kujifunga kupitia kwa Mudathir Yahya. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz