JINSI SIMBA 'ITAKAVYOMFUNGA' AL AHLY  || HUTAAMINI || MBINU ZOTE HIZI HAPA.
JINSI SIMBA 'ITAKAVYOMFUNGA' AL AHLY || HUTAAMINI || MBINU ZOTE HIZI HAPA.

#Simba #AFL #alahly KARIBU AJE FARMS; https://www.youtube.com/@aje-farmsmashambayanayotem7392 AJE-FARMS LTD ni kampuni binafsi inayojishughulisha na Kilimo Biashara Mseto kwa kufanya shughuli za Kilimo na Ufugaji AJE-FARMS ilisajiriwa rasmi Tanzania mwaka 2016. Ni kampuni iliyoanzishwa na Madaktari wawili wa binadamu wote Dr .Hartig & Dr.Ibrahim Mdashiru ambao wote huamini kwenye "KINGA NI BORA KULIKO TIBA" na wote wanaamini kuwa magonjwa mengi yanaweza kukingwa kwa LISHE SAHIHI na mitindo bora ya maisha.Kilimo ni njia ya kwanza muhimu ya kukabiliana na magonjwa ! Kupitia chaneli hii tunalenga kuelimisha watazamaji/wafuatiliaji wa vipindi vyetu mbinu bora za kilimo biashara,ujasiriamali na mitindo bora ya maisha. Kupitia chaneli hii tutakusaidia kuyafikia masoko yenye tija kwa wakati,kuongeza thamani ya mazao yako, kulima kibiashara,kukupa msaada wa kupata teknolojia na zana bora za kilimo wakati wote. Timu yetu ya wataalam inaweza kukufikia popote na kukusaidia kutatua changamoto za kilimo & ufugaji. SUBSCRIBE NA UJIFUNZE ZAIDI JUU YA FURSA ZA KILIMO BIASHARA

MAMBO MATANO USIYOYAJUA KUHUSU FABRICE NGOMA #simba
MAMBO MATANO USIYOYAJUA KUHUSU FABRICE NGOMA #simba

Fabrice Ngoma ni kiungo mkabaji Raia wa DRC mwenye umri wa miaka (29) Nyota huyu inasemekana amemalizana na simba na muda wowote atatambulishwa kunako klabu hiyo. Simba pro tumekuletea mambo matano ya kutafahamu kupitia nyota huyu Ndugu wana simba naomba kuchukua fursa hii kuwaomba mchangie pesa kwaajili ya ununuzi wa vifaa kwaajili ya media yetu hii pendwa nawaomba mchangie gharama za kupata Camera na Vifaa vya sauti ili tuweze kuwafikia mashabiki watoe maoni yao Gharama za vifaa ni 3,000,000 Namba ya malipo ni 0626629644 tutafute kwa namba hio pia kwa biashara ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

"Sisi maafisa ustawi wa Jamii tunakutana na wahanga wengi hapa Mkoani Songwe wanao tokana na biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu, wengi hutokea Nchi jirani za Malawi na Zambia, tunakutana na baadhi wa mataifa mengine na wanaotokea hapa Tanzania.

MANUNGU HAPATOSHII: SIMBA INATULETEA NEEMA, SIMBA INAPENDWA KULIKO MTIBWA SUGAR
MANUNGU HAPATOSHII: SIMBA INATULETEA NEEMA, SIMBA INAPENDWA KULIKO MTIBWA SUGAR

Wafanya biashara ndogo ndogo pembezoni mwa uwanja wa Manungu wametanabaishwa kwamba ujio wa Simba Sc kucheza katika uwanja huo nifulsa kwao kwasababu mauzo ya biashara zao nimakubwa tofautina ujio wa timu zingine

Highlights | Polisi Tanzania 2-1 Biashara United | U20 Premier League 09/07/2022
Highlights | Polisi Tanzania 2-1 Biashara United | U20 Premier League 09/07/2022

LIGI KUU YA VIJANA; Ni mchezo wa mwisho kwa Biashara United na Polisi Tanzania katika hatua ya makundi Ligi Kuu ya Vijana ...

Highlights | Namungo 0-0 Biashara United | U20 Premier League 05/07/2022
Highlights | Namungo 0-0 Biashara United | U20 Premier League 05/07/2022

LIGI KUU YA VIJANA: Ilikuwa ndiyo mechi ya ufunguzi wa ligi kuu ya vijana kwa mwaka 2022, Namungo FC U20 wakitoka sare ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Best Football Defending Skills  #Goal Celebrations  #New York Knicks  #Shaquille O'Neal  #Paul George  #Philadelphia 76ers  #James Harden  #Mesut Ozil  #Boston Celtics  #Cleveland Cavaliers  

Popular Users

#wizkhalifa  #MichelleDBeadle  #ATLHawks  #Harry_Styles  #TimTebow  #strombone1  #katzm  #billbarnwell  #elonmusk  #b_ryan9  #themichaelowen  #rioferdy5  #nytimes  #twitter