Tazama beki wa DR Congo, Hennock Inonga alivyokwenda kuwasilimia wachezaji wa Taifa Stars, walipokuwa kwenye mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Marty's jana Alhamisi ya Oktoba 9, 2024 Inonga kwa sasa anacheza soka nchini Morocco akitokea klabu ya Simba ya Tanzania. Stars itashuka dimbani leo Oktoba 10, 2024 dhidi ya DR Congo mchezo wa kundi ‘H’ #KufuzuAFCON2025. #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ2025 #MtoCongo #TaifaStars #Tanzania #CongoDR #DRCongo #CongoDRTanzania #DRCTanzania
Coastal Union imelazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba KMC Complex, Dar es Salaam. Simba wametangulia kwa magoli mawili kipindi cha kwanza kutoka kwa Mohamed Hussein Zimbwe Jr. na Lionel Ateba kwa penati , lakini Coastal wakacharuka kipindi cha pili na kupata magoli mawili kupitia kwa Abdallah Hassan na Hernest Malonga.... Tazama highlights....
🔴LIVE:SIMBA SC VS JKT TANZANIA | MECHI YA KIRAFIKI HII LEO 7/09/2024#SANKARA#SHEIKHAN#yangaleo#yanga ya gsm#yanga ya kim#kikosichayangaleo#yangavsmtibwa#simba sc, baraka mpenja, kibwanashomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, jumashabani, mashabiki yanga,msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma,jamusfc, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, yanga habari tz,sajili as yanga leo,mechi za yanga,yanga leo,ganga exclusive,kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc,simba na yanga, princedube, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja,yangabingwa, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto,mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, playoff, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimbasc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, Mbeya City, Kigoma, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa,, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto,mashabiki yanga,feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara,mashabiki yanga, yanga sc,medeama, simba na yanga,kagere,soka, mayele,Usajiliwayanga,kikosi cha yanga,Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs,goals, highlights, red card, Goli,yangavsmamelodi,raissamia,simbascvsalahly,clamvevo,snakeboy,Hamedally,sportsarena,Lomalisausajili,vita'lovsyanga,yangascvsvital'ofc.
Lionel Ateba amefunga goli katika mchezo wake wa kwanza ndani ya Simba, lakini likachomolewa kipindi cha pili na Serge Pokou dakika ya 76, na matokeo yakawa ni sare ya bao 1-1 kati ya Simba vs Al Hilal. Ni mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Dimba la KMC, Mwenge Dar es Salaam
Maxi Nzengeli na Clement Mzize wamefunga magoli mawili, Yanga ikishinda 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba Bukoba, mchezo wa #NBCPremierLeague
Clatous Chama amefunga goli moja na kutoa assist nne, Yanga SC ikiwanyoosha Vital'O ya Burundi kwa kichapo kizito cha magoli 6-0 katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.... Waliofunga magoli hayo ni Pacome Zouzoua kwa penati dakika ya 14, Clement Mzize dakika ya 49, Clatous Chama dakika 51, Prince Dube dakika 71, Stephane Aziz Ki dakika ya 78 na Mudathir Yahya dakika ya 86.
Clatous Chama amefunga goli moja na kutoa assist nne, Yanga SC ikiwanyoosha Vital'O ya Burundi kwa kichapo kizito cha magoli 6-0 katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.... Waliofunga magoli hayo ni Pacome Zouzoua kwa penati dakika ya 14, Clement Mzize dakika ya 49, Clatous Chama dakika 51, Prince Dube dakika 71, Stephane Aziz Ki dakika ya 78 na Mudathir Yahya dakika ya 86. Haya hapa magoli yote......
Magoli manne yamefungwa, Yanga ikishinda 4-0 ugenini dhidi ya Vital'o ya Burundi, mchezo wa kwanza hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa barani Afrika ukipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Wafungani ni Prince Dube dakika 6, Clatous Chama dakika ya 68, Clement Mzize dakika ya 74 na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 90.