Magoli yote | Simba SC 4-0 KMC FC | NBC Premier League 06/11/2024
Magoli yote | Simba SC 4-0 KMC FC | NBC Premier League 06/11/2024

Simba SC imeichakaza KMC mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam..... Magoli ya Simba yamefungwa na Awesu Ally Awesu dakika ya 25, Jean Charles Ahoua mawili dakika ya 38' kwa penati na dakika ya 69', na lingine limetoka kwa Edwin Balua dakika ya 66. Haya hapa magoli yote manne.....



Goli na Kadi Nyekundu | Yanga SC 0-1 Azam FC | NBC Premier League 02/11/2024
Goli na Kadi Nyekundu | Yanga SC 0-1 Azam FC | NBC Premier League 02/11/2024

Baada ya kushinda mechi nane mfululizo, Yanga SC leo imepoteza kwa mara ya kwanza kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi. Goli pekee la mchezo limefungwa na Gibril Sillah dakika ya 33 ikiwa ni dakika 10 baada ya beki wa Yanga kutolewa kwa kadi nyekundu..... Hili hapa ni goli na kilichosababisha kadi nyekundu...



Mashujaa FC  0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 01/10/2024
Mashujaa FC 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 01/10/2024

Steven Mukwala ameifungia Simba goli pekee na la ushindi dakika ya mwisho ya mchezo, dhidi ya Mashujaa FC, kwenye Dimba la Lake Tanganyika, Kigoma..... Tazama matukio yote muhimu ya mchezo huu.... Hii ni #NBCPremierLeague



Singida Black Stars 0-1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/10/2024
Singida Black Stars 0-1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/10/2024

Pacome Zouzoua amepiga goli pekee na la ushindi kwa Yanga ikiitandika Singida Black Stars bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar.. Hii ni mechi ya ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague



KIPYENGA CHA MWISHO 24/10/2024 | Osman Kazi aondoa utata wa maamuzi Kariakoo Derby
KIPYENGA CHA MWISHO 24/10/2024 | Osman Kazi aondoa utata wa maamuzi Kariakoo Derby

Mwamuzi mstaafu wa soka Osman Kazi ameondoa utata wa maamuzi kwenye matukio yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC uliopigwa Oktoba 19, 2024.



Simba SC 0-1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 19/10/2024
Simba SC 0-1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 19/10/2024

KARIAKOO DERBY | Goli pekee la kujifunga kupitia kwa Kelvin Kijili, limeipa Yanga pointi tatu muhimu katika mchezo wa Kariakoo Derby, #NBCPremierLeague , ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Tazama highlights....



🔴LIVE MATCH:SIMBA SC [0] VS [1] YANGA SC NBC 19/10/2024
🔴LIVE MATCH:SIMBA SC [0] VS [1] YANGA SC NBC 19/10/2024

🔴LIVE MATCH:SIMBA SC VS YANGA SC NBC 19/10/2024#SANKARA#SHEIKHAN#yangaleo#yanga ya gsm#yanga ya kim#kikosichayangaleo#yangavsmtibwa#simba sc, baraka mpenja, kibwanashomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, jumashabani, mashabiki yanga,msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma,jamusfc, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, yanga habari tz,sajili as yanga leo,mechi za yanga,yanga leo,ganga exclusive,kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc,simba na yanga, princedube, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja,yangabingwa, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto,mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, playoff, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimbasc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto, juma shabani, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara, mashabiki simba, yanga, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, tanzania, Mbeya City, Kigoma, Play off, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, Play Kigoma, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa, play off, Goli, football, Tanzania, mtoano, soccersimba sc, baraka mpenja, kibwana shomari, aish manula, yassin mustafa, bakari mwamnyeto,afconafricacup2024-2025, mashabiki yanga, yussuph athumani, feitoto, feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, haji manara, mashabiki simba, yanga sc, chico ushindi, simba na yanga, kagere, makambo, soka, mayele, michezo tanzania, azamtv, azamtvmax, azamtvtyoutube, Mashujaa, azamsports, Mashujaa FC, Mbeya City, Kigoma, Mtoano, NBC Premier league, Championship, Mashujaa vs Mbeya City, goals, highlights, red card, Mbeya City vs Mashujaa,Goli, football, Tanzania, mtoano,soccersimba sc,baraka mpenja, kibwana shomari,aish manula,yassin mustafa,bakari mwamnyeto,mashabikiyanga,feitoto,feisal salum, fiston mayele, msemaji simba, msemaji yanga, morrison, haji manara,mashabiki yanga,yanga sc,medeama,simba na yanga,kagere,soka, mayele,Usajiliwayanga,kikosi cha yanga,Mtoano, NBC Premier league, Championship,Mashujaa vs,goals, highlights,redcard,Goli,yangavsmamelodi,raissamia,simbascvsalahly,clamvevo,snakeboy,Hamedally,sportsarena,Lomalisausajili,vita'lovsyanga,yangascvsvital'ofc,burundivssenegal.



Magoli sita | JKT Tanzania 4-2 Tabora United | NBC Premier League 18/10/2024
Magoli sita | JKT Tanzania 4-2 Tabora United | NBC Premier League 18/10/2024

John Bocco amefunga magoli mawili dakika ya 21 na 26, akiiongoza JKT Tanzania kuichapa Tabora United mabao 4-2 ,katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo. Dar es Salaam. Magoli mengine yametoka kwa Edward Songo dakika ya 58 na Said Ndemla dakika ya 63... huku magoli ya Tabora United yakifungwa na Offen Chikola dakika ya 42 na Yacouba Sogne dakika ya 90. Haya hapa magoli yote sita....




« Previous Next »


Popular Tags

#Shot Goals  #Golden State Warriors  #Best Football Defending Skills  #Stephen Curry  #Kevin Durant  #Neymar  #Shaquille O'Neal  #Boston Celtics  #Counter Attack Goals Football  #Zlatan Ibrahimovi  

Popular Users

#BeingSalmanKhan  #steveaustinBSR  #sportspickle  #instagram  #RyanBabel  #TheEllenShow  #billbarnwell  #TheRealJRSmith  #britneyspears  #NiallOfficial  #LAKings  #baseballpro  #strombone1  #GNev2  #KimKardashian