Simba SC wamelazimishwa suluhu na Biashara United katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Karume, mjini Musoma. Katika mchezo huo Simba walipata penati katika dakika za nyongeza lakini golikipa James Ssetuba akafanikiwa kupangua penati ya nahodha wa Simba, John Bocco. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz