ALLY KAMWE AFURAHISHWA NA SIMBA KUFUNGIWA MASHABIKI KUINGIA UWANJANI JUMAPILI KWA MKAPA/ MC ALGER?
ALLY KAMWE AFURAHISHWA NA SIMBA KUFUNGIWA MASHABIKI KUINGIA UWANJANI JUMAPILI KWA MKAPA/ MC ALGER?

BETI NA PMBET UJISHINDIE TOYOTA HARRIER, NISSAN X-TRAIL NA IST KUPITIA LINK HII 👉 https://pmbet.co.tz/en/auth/signup?ref_id=pmtv USISAHAU KU-SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KWA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU. INSTAGRAM @pmtvtz TIKTOK @officialpmtv TOVUTI: www.pmtv.co.tz



Kamwe asema MC Alger watakutana na moto Benjamin Mkapa, awaita mashabiki
Kamwe asema MC Alger watakutana na moto Benjamin Mkapa, awaita mashabiki

#CAFCL “Warabu watakwenda kuitapika Benjamin Mkapa” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akiuzungumzia mchezo wao wa Januari 18, 2025 ndani ya dimba la Benjamin Mkapa dhidi ya MC Alger. Ni mchezo wa mwisho kwa timu zote mbili katika hatua ya makundi ya Ligi Mabingwa Afrika (CAFCL) huku akiwaita mashabiki kubeba vichinjio vyao. Yanga jana Jumapili ilishinda kwa goli 1-0 dhidi ya Al Hilal ya Sudan na kufikisha alama saba huku MC Alger ikiwa na alama nane. Mdchi hiyo utaishuhudia LIVE #AzamSports1HD #AzamSports1HD #YangaSafarini #YangaMauritania #AlHilal #YangaSC #AlHilalYanga #CAFCL #CAFChampionsLeague



🟡WOW!TAZAMA VIBE LA ALI KAMWE BAADA YA KUIFUNGA AL HILAL/AZIZ KI AMEZALIWA UPYA MC ALGER AJIANDAE...
🟡WOW!TAZAMA VIBE LA ALI KAMWE BAADA YA KUIFUNGA AL HILAL/AZIZ KI AMEZALIWA UPYA MC ALGER AJIANDAE...

Mchezo wa Yanga na Al Hilal umemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa Bao 1-0 bao pekee lililofungwa na Kiungo Stephan Aziz Ki dakika ya 07 ya Mchezo limetosha kuipa Yanga Alama Tatu muhimu dhidi ya Al Hilal Omdurman.




« Previous Next »


Popular Tags

#Shot Goals  #Best Goals  #Neymar  #David Silva  #Football Defensive Skills  #Manuel Neuer  #Stephen Curry  #Goalkeeper Saves  #Kawhi Leonard  #Franck Ribery  

Popular Users

#ochocinco  #BMcCarthy32  #UKCoachCalipari  #Drake  #ArianFoster  #jimmyfallon  #neymarjr  #lindseyvonn  #billsimmons  #selenagomez  #BrunoMars  #SrBachchan  #BaileyLAKings  #StephenCurry30