Kichuya ,Ajibu Waibua Mapya Ligi Kuu
Kichuya ,Ajibu Waibua Mapya Ligi Kuu

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 KWA Sasa majina ya Shiza Kichuya wa Simba na Ibrahim Ajibu wa Yanga ndiyo yanayokimbiza kutokana na kazi yao wanayoifanya wakiwa uwanjani . Kwa Nyakati tofauti washambualiaji hao ambao walicheza pamoja na simba msimu uliopita wamefunga mabao matano. Kila mmoja ameisaidia timu yake mwejye mechi zake tofauti wote wameshacheza mechi tisa hadi sasa ambapo mabao hayo wameyafunga kwenye viwanja vya Dar na vile vya mkoani . Ajibu yeye amefunga mbele ya Njombe Mji (Njombe) ,Ndanda Dar Kagera Sugar na Stand United (Kagera) na Stand United Shinyanga akifunga mara mbili . Kwa Kichuya amefikisha mabao matano kwenye mechi dhidi ya Ruvu Shooting (Dar), Mbeya City (Mbeya) ,Kwenye kila Mechi amabzo wamefunga timu zao zilizoondoka na pointi tatu au moja. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...



Azam TV - FULL HIGHLIGHTS: STAND UNITED 0-4 YANGA SC (22/10/2017)
Azam TV - FULL HIGHLIGHTS: STAND UNITED 0-4 YANGA SC (22/10/2017)

Yanga imeipiga Stand United jumla ya mabao 4-0 katika dimba la Kambarage mjini Shinyanga. Mabao yamefungwa na Ajibu aliyefunga mawili dakika ya 24 na 30, Buswita dakika ya 53 na Chirwa dakika ya 69. Hivi ndivyo mechi ilivyokuwa kwa ufupi.




« Previous


Popular Tags

#Golden State Warriors  #Best Goalkeeper Saves  #Neymar  #Best Football Defending Skills  #Paul Pogba  #Best Football Defending Skills  #Best Ball Controls  #Stephen Curry  #David Silva  #Shot Goals  

Popular Users

#MileyCyrus  #Drake  #serenawilliams  #MikePereira  #katyperry  #kevinlove  #RealSkipBayless  #TheNotoriousMMA  #Buccigross  #SimplyAJ10  #UKCoachCalipari  #josecanseco  #rolopez42  #TheEllenShow  #JLo