Azam TV - FULL HIGHLIGHTS: STAND UNITED 0-4 YANGA SC (22/10/2017)
Yanga imeipiga Stand United jumla ya mabao 4-0 katika dimba la Kambarage mjini Shinyanga. Mabao yamefungwa na Ajibu aliyefunga mawili dakika ya 24 na 30, Buswita dakika ya 53 na Chirwa dakika ya 69.
Hivi ndivyo mechi ilivyokuwa kwa ufupi.