MBEYA DERBY: Zabona Khamis Mayombya na Samson Mbangula wamefunga tena katika mchezo wa pili mfululizo dakika ya 27 ...
MBEYA DERBY: Zabona Khamis Mayombya na Samson Mbangula wamefunga tena katika mchezo wa pili mfululizo dakika ya 27 ...
Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Simba yametoka kwa Sadio Kanoute dakika ya 19 na Edwin Balua dakika ya 77.
Goli pekee kutoka kwa Joseph Guede limeipa yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ugenini kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tazama highlights....
Mabingwa watetezi, Yanga SC wametinga nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup kwa kuibutua Tabora United mabao 3-0 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Stephane Aziz ki dakika ya 35, Kennedy Musonda dakika ya 66 na Joseph Guede dakika ya 82.
Goli la kujifunga dakika za jioooooooooooooooni limewapa Namungo FC sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba kwenye Dimba la Majaliwa, Lindi, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC..... Simba walitangulia kwa goli la Willy Onana dakika ya 34 kabla ya Namungo kusawazisha dakika ya 39 kupitia kwa Kelvin Kongwe Sabato, na Edwin Balua kuifungia Simba la pili kwa free-kick dakika ya 70.
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa fainali ya Muungano Cup kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Simba imeshinda goli 1-0
KARIAKOO DERBY: Yanga SC imeendeleza ubabe kwa kuichapa Simba mabao 2-1 kwa mara ya pili msimu huu, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa kipindi cha kwanza na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 20 na Joseph Guede dakika ya 38.
Kwa TKO raundi ya sita, Mada Maugo amemkalisha Karim Mandonga.
Tazama mikwaju yote ya penati iliyopigwa kwenye mchezo CRDB Bank Federation Cup kati ya Mashujaa FC dhidi ya Simba SC. Simba imetolewa kwa jumla ya penati 6-5 Waliopiga kwa upande wa Simba ni Mohamed Hussein, Israel Mwenda, Freddy Michael Koublan, Willy Onana, Mzamiru Yassin, Ladack Chasambi, Sadio Kanoute Waliopiga kwa upande wa Mashujaa ni Zuberi Dabi, Samson Madeleke, Masinda, Idrissa Stambuli, Adam Adam, Mpoki Mwakinyuke, Baraka Mtui