MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 23/07/2020 by @Azam TV - Post Details

MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 23/07/2020

Pata ripoti ya mechi zote za Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwemo magoli na kauli za makocha na mashabiki kuhusu mechi zilizochezwa leo ambazo ni Coastal union vs Simba, Azam vs Mbeya city, Lipuli vs Ruvu Shooting, Polisi vs JKT na Alliance vs Ndanda. Hasheem Ibwe yuko na mchambuzi Michael Johnson kukuletea hizi na taarifa nyingine kibao za michezo. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Similar Posts!

Yanga SC 1-1 Simba SC | Highlights | U17 Clubs Premier League 06/06/2026
Yanga SC 1-1 Simba SC | Highlights | U17 Clubs Premier League 06/06/2026

LIGI YA VIJANA U17 | Ni Kariakoo Derby ya vijana, Yanga U17 na Simba U17, mchezo umemalizika kwa sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa TFF, Kigamboni Dar es Salaam. Yanga wametangulia kwa goli la Issa Ramadhan dakika ya 15, na Simba kuchomoa dakika za majeruhi... Tazama highlights



Yanga SC 3-1 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League 25/05/2026
Yanga SC 3-1 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League 25/05/2026

Kiungo Allan Okello amefunga magoli mawili katika ushindi wa 3-1, Yanga dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Aliyeitanguliza Yanga kwenye mchezo huu alikuwa ni Duke Abuya, kabla ya Hassan Kabunda kuchomoa kipindi cha kwanza... na Allan Okello akapiga mawili kipindi cha pili.



Magoli | Okello apiga mawili, Yanga ikiichapa 3-1 Namungo FC | NBC Premier League 25/05/2026
Magoli | Okello apiga mawili, Yanga ikiichapa 3-1 Namungo FC | NBC Premier League 25/05/2026

Kiungo Allan Okello amefunga magoli mawili katika ushindi wa 3-1, Yanga dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Aliyeitanguliza Yanga kwenye mchezo huu alikuwa ni Duke Abuya, kabla ya Hassan Kabunda kuchomoa kipindi cha kwanza... na Allan Okello akapiga mawili kipindi cha pili. Haya hapa magoli...



Magoli | Yanga SC 3-0 Singida BS | NBC Premier League 22/05/2026
Magoli | Yanga SC 3-0 Singida BS | NBC Premier League 22/05/2026

Yamefungwa magoli matatu.... chuma mbili zikiwekwa kambani na Allan Okello na goli lingine likifungwa na Mudathir Yahya kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Hii ni Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.



Simba SC 4-0 TRA United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup - 17/05/2026
Simba SC 4-0 TRA United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup - 17/05/2026

#CRDBBankFederationCup: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo kati ya Simba dhidi ya TRA United kwenye mchezo wa robo fainali ya CRDB Bank Federation Cup. Magoli ya Simba yamefungwa na Clatous Chama, Anicet Oura, Selemani Mwalimu na Bashiri Kibaila. Mchezo wa nusu fainali ni Coastal Union dhidi ya Simba SC. FT: Simba SC 4-0 TRA United #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #CRDBCup #FACup #SimbaSCVsTRAUnited #SimbaSC #TRAUnited #SimbaTRAUnited



Magoli | Dodoma Jiji 3-2 Yanga SC | NBC Premier League 13/05/2026
Magoli | Dodoma Jiji 3-2 Yanga SC | NBC Premier League 13/05/2026

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC wamepoteza mchezo kwa mara ya kwanza msimu huu, wakichapwa 3-2 na Dodoma Jiji, mchezo, mchezo ukipigwa Airtel Stadium, Singida. Magoli ya Yanga yamefungwa na Allan Okello dakika ya 2 na 41, huku magoli ya Dodoma Jiji yakitoka kwa Bakari Mwamnyeto aliyejifunga dakika ya 29, Mwana Kibuta David dakika ya 90 na Wazir Junior Shemtembo dakika za nyongeza. Haya hapa magoli yote..



TRA United 4-1 Azam FC | Magoli | NBC Premier League - 08/05/2026
TRA United 4-1 Azam FC | Magoli | NBC Premier League - 08/05/2026

#NBCPL: Tazama magoli yote matano yaliyofungwa kwenye mchezo wa NBC Premier League kati TRA United dhidi ya Azam FC. FT: TRA United 4-1 Azam FC Magoli ya TRA United yamefungwa na Ally Ng'azi, Ammy Mapaka na Ramadhan Salum 'Chobwedo' Goli la Azam FC limefungwa na Jephte Kitambala Bola. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TRAUnitedvsAzamFC #TRAUnited #AzamFC #TRAUnitedAzamFC



Yanga SC 0-0 Simba SC | HIghlights | NBC Premier League 01/03/2026
Yanga SC 0-0 Simba SC | HIghlights | NBC Premier League 01/03/2026

KARIAKOO DERBY | Imepigwa dabi moja ya maana sana kwenye Dimba la Amaan, Zanzibar, Yanga na Simba wakimaliza dakika 90 bila bao, lakini burudani za kutosha. Hii ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania