MWEE! MWEE! AMEREJEA SIMBA BWANA!/SHABIKI MAARUFU WA SOKA ISSA AZAM SASA NI MWEKUNDU
Aliyekuwa shabiki maarufu wa Azam FC, Issa Azam, ametangaza kuacha kuishabikia klabu hiyo na kurejea kuishabikia klabu ya Simba SC.
Issa Azam sasa ataitwa Issa Simba?....fuatilia mahojiano haya ndani ya #MpenjaTV #IssaAzam #Simba