HII HAPA TAREHE RASMI SIMBA DAY/PATAWAKA/ THIS IS SIMBA BROTHER!!.
Afisa habari msaidizi wa Klabu ya Simba Bwn. Chiko akizungumza nasi mara tu baada ya Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Tarehe 26/08/2021 Katika Hoteli ya Hyatty Regency iliyopo Posta jijini Dar es salaam.