KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

FT: Matokeo ya Simba 0 - 5 Al Ahly, Okwi, Chama Hoi
FT: Matokeo ya Simba 0 - 5 Al Ahly, Okwi, Chama Hoi

WAFUNGAJI WA MABAO YOTE YAPO HAPA CHINI GOOOOAAAL Karim Nedved anafunga bao la tano. Al Ahly - Simba SC 5-0 GOOOOAAAL Karim Nedved anafunga bao la 4. Al Ahly - Simba SC 4-0 #TotalCAFCL #ASCSSC GOOOOAAAL Oluwafemi Ajayi anafunga bao la tatu. Al Ahly - Simba SC 3-0 GOOOOAAAL Ali Maâloul anafunga bao la pili . Al Ahly - Simba SC 2-0 Dakika ya 22 Timu ya Simba wanafungwa bao la pili Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Hiki hapa kikosi cha Simba kinachowavaa Al Ahly leo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika nchini Misri. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Kocha Biashara Amchana Kipa Wake 'Huwezi Kuwa Juu Ya Timu'
Kocha Biashara Amchana Kipa Wake 'Huwezi Kuwa Juu Ya Timu'

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars YANGA SC imefanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90. Waliofunga penalti za Yanga SC ni Heritier Makambo, Paul Godfrey, Ibrahim Ajibu, Thabani Kamusoko na Matheo Anthony, za Biashara United zilifungwa na Lenny Kissu, George Makang’a, Derick Mussa, Kauswa Bernard, wakati Tariq Seif akapaisha ya nne. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Rais wa Simba: Tutapambana Kuwafunga Al Ahly, Tumeweka Pesa
Rais wa Simba: Tutapambana Kuwafunga Al Ahly, Tumeweka Pesa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars NAHODHA wa Simba, John Bocco leo ameongoza msafara wa kikosi cha Simba ambacho kimeanza safari yake kuelekea nchini Misri kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaochezwa Februari 2. Bocco alikuwa nje kwa muda kutokana na kusumbuliwa na majeraha ambayo aliyapata katika mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya JS Saoura na aliwakosa AS Vita wa Congo ila kwa leo amejiunga na timu ili kuongeza morali ndani ya kikosi hicho. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Mwalimu Kashasha: Al Ahly ni Hatari, Simba Waache Mpira wa Makofi,
Mwalimu Kashasha: Al Ahly ni Hatari, Simba Waache Mpira wa Makofi,

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Umaarufu wa Mwalimu Kashasha umekuja kasi kutokana na utamaduni wake wa kupenda kuchambua mchezo wa soka kwa kutumia misemo yenye mvuto wa aina yake. #Sportpesa Cup2019 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Simba  Yashinda Rufaa dhidi ya Afc Leopards, Sportpesa Cup
Simba Yashinda Rufaa dhidi ya Afc Leopards, Sportpesa Cup

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Alichokisema Kocha Wa Kariobangi Kuwafunga Yanga Sport Pesa
Alichokisema Kocha Wa Kariobangi Kuwafunga Yanga Sport Pesa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars KIKOSI cha Yanga, leo kimepoteza mchezo wake wa kombe la SportPesa ikiwa ni hatua ya robo fainali kwa kukubali kufungwa mabao 3-2 dhidi ya KK Sharks ya Kenya mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa. Michuano ya SportPesa Cup ambayo kwa sasa ni msimu wake wa tatu imeshirikisha timu nane ikiwa ni nne kutoka Tanzania ambazo ni Singida United, Simba, Mbao na Yanga na zile za kutoka Kenya ni pamoja na KK Sharks, Bandari, AFC Leopards na Gor Mahia ambao ni mabingwa watetezi. Kipindi cha kwanza Yanga walikubali kupoteza kutokana na uzembe wa mabeki ambapo dakika ya 9 KK Sharks waliandika bao la kwanza kupitia kwa Abuye Duke na baada ya kuzidisha mashambulizi wakaandika bao la pili dakika ya 37 kupitia kwa Abege George. Mpaka kipindi cha kwanza kinakamilika Yanga walikuwa nyuma kwa mabao mawili, kipindi cha pili baada ya kufanya mabadiliko kwa kumtoa Haruna Moshi na kuingia Amiss Tambwe pamoja na Abdallah Shaibu na kuingia Thaban Kamusoko, Mrisho Ngassa nafasi yake kuchukuliwa na Deus Kaseke pamoja na Paul Godfery nafasi yake kuchukuliwa na Juma Abdul kasi ya Yanga ilianza kuonekana. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Tarimba: Simba, Yanga Hatutaki Masihara,  SportPesa Awapa Kazi
Tarimba: Simba, Yanga Hatutaki Masihara, SportPesa Awapa Kazi

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MKURUGENZI wa utawala na udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbasi, amezitaka klabu za Simba na Yanga kuacha masihara na badala yake kuhakikisha wanachukua ubingwa wa #SportPesa Super Cup. Kauli hiyo ameitoa leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kesho jijini Dar inahusisha jumla ya timu nane nne za nchini Tanzania ambazo ni Simba, Yanga,Mbao na Singida United na za kutoka Kenya ni Gor Mahia ambaye ni bingwa mtetezi, AFC Leopard, Bandari na KK Sharks. "Haiwezekani tena safari hii ubingwa wa michuano hii uende Kenya kama ilivyofanyika miaka miwili iliyopita, hivyo ni lazima timu za nchini kupambana kuhakikisha wanaubakisha ubingwa hapa nchini. " Tayari nimekutana na viongozi wa Simba, Yanga, Mbao FC na Singida Utd nikiwasisitizia ubingwa ubaki nyumbani. "Nimewaambia waache mzaha kabisa kwa kutumia wachezaji wa vikosi vya pili na badala yake kuwatumia wale wa kikosi cha kwanza. "Mara kadhaa tumeziona Simba na Yanga wakitumia wachezaji wa kikosi cha pili, hivyo mwaka huu hatutaki kitu hicho kitokee kikubwa tunataka ubingwa," alisema Tarimba. Bingwa wa michuano hii anatarajiwa kujichotea dola elfu 30 (Shilingi milioni 70). Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Dismas Ten: Tumejipanga Kuwafunga Mwadui Kesho Taifa
Dismas Ten: Tumejipanga Kuwafunga Mwadui Kesho Taifa

Timu ya Yanga Kesho inacheza na Mwadui Fc kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar mchezo wa Ligi Kuu Bara. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten amesema taarifa za uzushi ambazo zinasambazwa juu ya Makambo kwamba ameondoka Yanga hazina ukweli wowote zinapaswa zipuuzwe. "Herieter Makambo alisafiri kwenda Congo, alisafiri kwa mapumziko mara baada ya mchezo dhidi ya Mbeya City kama ambavyo mwalimu alitoa mapumziko kwa wachezaji wengine, sio kweli kwamba ameondoka ndani ya timuila bado hatujaua ana tatizo gani alilolipata. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports