Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars NAHODHA wa Simba, John Bocco leo ameongoza msafara wa kikosi cha Simba ambacho kimeanza safari yake kuelekea nchini Misri kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaochezwa Februari 2. Bocco alikuwa nje kwa muda kutokana na kusumbuliwa na majeraha ambayo aliyapata katika mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya JS Saoura na aliwakosa AS Vita wa Congo ila kwa leo amejiunga na timu ili kuongeza morali ndani ya kikosi hicho. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars