KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simba Sports Club, Mohammed Dewji 'Mo' amesema malengo makubwa ya klabu ni kuona inafanikiwa kupata matokeo chanya. "WanaSimba na Watanzania kama tutajitokeza kwa wingi siku ya jumanne nina imani tutawafunga Al Ahly na tukiwafunga tutakuwa na nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. "Shabaha yetu ilikuwa kufika kwenye makundi na tumefanikiwa na shabaha yetu nyingine ni kutetea kombe la Ligi Kuu ili tuendelee kushiriki mashindano haya," alisema. Mwenyekiti wa Simba, Sued Mkwabi amesema kwamba "Simba ikifanya vizuri faida ni kwa nchi yetu kuweza kupata mwakilishi zaidi ya mmoja kwenye mashindano yajayo, muhimu Wanasimba na wasio Wanasimba wajitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu ambayo ndio inawakilisha nchi yetu kwenye mashindano ya kimataifa,". Simba wapo kundi D kwenye hatua ya makundi ambapo kinara ni Al Ahly akiwa na pointi nne akifuatia na AS Vita ambaye ana pointi tatu huku Simba ikiwa nafasi ya tatu na pointi tatu na JS Saoura wanashika nafasi ya nne wakiwa na pointi mbili. Wapinzani wao Al Ahly wanatarajiwa kutia timu alfajiri ya kesho tayari kwa mchezo utakaopigwa Uwanja wa Taifa. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere anawanyanyua mashabiki wa Simba kwa kufunga bao la kwanza kwa kichwa katika mchezo wa leo dhidi ya Mwadui, pasi ya Clatous Chama baada ya Haruna Niyonzima kupiga kona fupi dakika ya 21. Mzamiru Yassin alifanya hivyo tena dakika ya 26 akimalizia pasi aliyotengewa kwa kifua na nahodha John Bocco,dakika ya 29, Niyonzima alipipiga pasi iliyomfikia Bocco alicheka na nyavu kwa kichwa na kufanya idadi ya mabao kufika 3-0. Kwa sasa mpira ni kipindi cha pili, mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona namna msisimko wa Ligi Kuu Bara unavyoendelea. Ushindani ni mkubwa huku kipindi cha kwanza Mwadui walikuwa wakishambulia kwa kushtukiza na kujilinda na Simba walikuwa wakishambulia mara kwa mara. Aussems wa Simba alifanya mabadiliko kipindi cha pili kwa kumtoa Kagere nafasi yake ikachukuliwa na Adam Salamba, Mzamiru Yasin aliumia nafasi yake ikachukuliwa na Jonas Mkude na Chama alitoka nafasi yake ikachukuliwa na Emanuel Okwi. Mpaka dakika tisini zinakamilika mchezo wa leo Simba wanaondoka kifua mbele kwa ushindi wa mabao 3-0. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere anawanyanyua mashabiki wa Simba kwa kufunga bao la kwanza kwa kichwa katika mchezo wa leo dhidi ya Mwadui, pasi ya Clatous Chama baada ya Haruna Niyonzima kupiga kona fupi dakika ya 21. Mzamiru Yassin alifanya hivyo tena dakika ya 26 akimalizia pasi aliyotengewa kwa kifua na nahodha John Bocco,dakika ya 29, Niyonzima alipipiga pasi iliyomfikia Bocco alicheka na nyavu kwa kichwa na kufanya idadi ya mabao kufika 3-0. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Simba juzi Jumamosi walikutana na kichapo hicho kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Hatua ya Makundi ukiwa ni mchezo wa Kundi D. Hiki ni kichapo cha pili kwa Simba wanapokea kwa kufungwa mabao 5-0 msimu huu kwenye hatua hiyo, baada ya wiki chache kufungwa na AS Vita Club ya DR Congo. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Afisa habari wa Simba Haji Manara baada ya Simba ametafutwa ukumbini usiku baada ya timu yake kupigwa bao 5-0 na Al Ahly na kupelekea kuitwa mashabiki wa Yanga na Simba katika ukumbi wa Kebbys Mwenge jijini Dar usiku wa Chekelea Stand Up Comedy Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA usiku wa kuamkia leo, imepoteza mchezo wa pili ugenini nchini Misri, kwenye hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba ilikumbana na kipigo cha mabao 5-0 kipindi cha kwanza dhidi ya Ahly kwenye mjini Alexandria mbele ya mashabiki 10,000 waliokuwa wakishangilia kwa kelele za hali ya juu mwanzo mwisho. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars