Content removal request!


Kocha Simba:Tumecheza Vizuri,Tumejipanga Kuwavaa Al Ahly Jumanne

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere anawanyanyua mashabiki wa Simba kwa kufunga bao la kwanza kwa kichwa katika mchezo wa leo dhidi ya Mwadui, pasi ya Clatous Chama baada ya Haruna Niyonzima kupiga kona fupi dakika ya 21. Mzamiru Yassin alifanya hivyo tena dakika ya 26 akimalizia pasi aliyotengewa kwa kifua na nahodha John Bocco,dakika ya 29, Niyonzima alipipiga pasi iliyomfikia Bocco alicheka na nyavu kwa kichwa na kufanya idadi ya mabao kufika 3-0. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars