KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

Alichosema Kocha wa SIMBA Kuwafunga JKT Tanzania
Alichosema Kocha wa SIMBA Kuwafunga JKT Tanzania

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa 1-0 JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam jioni ya leo. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 72 baada ya kucheza mechi 28 na kuendelea kushika nafasi ya pili, nyuma ya watani wao wa jadi, #YangaSC wenye pointi 77 za mechi 33. Sifa zimuendee mfungaji wa bao hilo pekee dakika ya sita kati ya saba za nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida, kiungo Hassan Dilunga aliyetokea benchi kipindi cha kwanza kuchukua nafasi ya Nahodha, John Raphael Bocco. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Bao la Simba vs JKT Tanzania Lapagawisha Mashabiki Taifa
Bao la Simba vs JKT Tanzania Lapagawisha Mashabiki Taifa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa 1-0 JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam jioni ya leo. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 72 baada ya kucheza mechi 28 na kuendelea kushika nafasi ya pili, nyuma ya watani wao wa jadi, Yanga SC wenye pointi 77 za mechi 33. Sifa zimuendee mfungaji wa bao hilo pekee dakika ya sita kati ya saba za nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida, kiungo Hassan Dilunga aliyetokea benchi kipindi cha kwanza kuchukua nafasi ya Nahodha, John Raphael Bocco. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Simba Wamebebwa DK 7 za NINI? - Kocha JKT Tanzania
Simba Wamebebwa DK 7 za NINI? - Kocha JKT Tanzania

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa 1-0 JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam jioni ya leo. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 72 baada ya kucheza mechi 28 na kuendelea kushika nafasi ya pili, nyuma ya watani wao wa jadi, Yanga SC wenye pointi 77 za mechi 33. Sifa zimuendee mfungaji wa bao hilo pekee dakika ya sita kati ya saba za nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida, kiungo Hassan Dilunga aliyetokea benchi kipindi cha kwanza kuchukua nafasi ya Nahodha, John Raphael Bocco. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Kikosi Cha Simba Kilivyotua Kukipiga na JKT Uwanja wa Uhuru
Kikosi Cha Simba Kilivyotua Kukipiga na JKT Uwanja wa Uhuru

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MCHEZO unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Uhuru ni kati ya wenyeji Simba wakimenyana na JKT Tanzania. Kwa sasa ni kipindi cha pili na hakuna mbabe ambaye ameona lango la mpinzani wake kwa sasa. JKT Tanzania wanafanya mashambulizi kwa kushtukiza kuliandama lango la Deogratius Munish. Mashabiki waliojitokeza hapa Uhuru sio wengi sana kutokana na leo kuwa siku ya kazi. Nahodha wa Simba John Bocco alitolewa kipindi cha kwanza nafasi yake imechukuliwa na kiungo Hasan Dilunga Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Kagera Sugar Yaikabidhi Simba zawadi ya Pasaka 2-1
Kagera Sugar Yaikabidhi Simba zawadi ya Pasaka 2-1

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya Kagera Sugar imeendeleza ubabe wake kwa Simba SC baada ya kuichapa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



FT: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA, KAITABA-BUKOBA
FT: KAGERA SUGAR 2-1 SIMBA, KAITABA-BUKOBA

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars FT: Kagera Sugar 2-1 Simba Uwanja: Kaitaba Gooooal  Emmanuel Okwi dk ya 63  Kipindi cha pili kimeanza, Zimeongezwa dakika 5 Goooooal: Kassim Khamis Goooooal: Ramadhan Kapera Zinaongezwa dakika nne Hasan Dilunga njano dk ya 67 Okwi dk ya 64 njano Said Kipao wa Kagra Sugar anaonyeshwa kadi ya njano dk ya 69, Kassim njano dk ya 73. KASSIM Khamis anawanyanyua mashabiki wa Kagera Sugar dakika ya 20 kwa kuitanguliza timu yake kuongoza mbele ya Simba akimalizia pasi ya Ramadhan Kapera. Dakika ya 40 Kagera Sugar wanapachika bao la pili kupitia kwa Ramadhan Kapera. Kagera Sugar iliyo chini ya kocha Mecky Maxime imeanza kwa kasi kushambulia lango la Aish Manula na kupata kile ambacho ilikuwa inahitai kwa sasa.  Emmanuel Okwi anaandika bao la kwanza kwa Simba dakika ya 63 akimalizia pasi ya Chama. Mashabiki waliojitokeza ni wengi kuona namna ushindani ulivyo huku mashambulizi kwa timu zote yakiwa ni makali. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Shabiki wa Yanga Atoa Povu Kisa Kipigo cha Mtibwa
Shabiki wa Yanga Atoa Povu Kisa Kipigo cha Mtibwa

Baada ya Yanga kuchapwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar,nahodha wa timu hiyiop Ibrahim Ajib amewatupia lawama waamuzi kuwa wamekuwa hawaitendei haki timu yao katika mechi nyingi za Ligi Kuu Bara. Bao la Riphat Khamis dakika ya 52 lilitosha kuipa ushindi Mtibwa Sugar na kuendeleza rekodi yao bora inapocheza nyumbani kwani katika michezo mitano mfululizo iliyopita iliyocheza Morogoro imeshinda yote. Kukataliwa kwa bao lililofungwa na Amissi Tambwe dakika ya 89 ndiko kulisababisha Ajib kutoa ya moyoni ukuhusu waamuzi kuwa wamekuwa hawatendi haki licha ya wachezaji kupambana sana uwanjani kutafuta matokeo. Mwamuzi Hans Mabena wa Tanga alikataa bao hilo baada ya kumuangalia mwamuzi wa pembeni ambaye alinyoosha kibendera kuashiriki mfungaji alikuwa ameotea. "Waamuzi hawachezeshi kwa haki kwani huwa hawako upande wetu mechi nyingi. Kwani tunajitahidi kwa uwezo wetu lakini inaumiza unapambana sana lakini anatokea mwingine anakurudisha nyuma"alisema. Ajib amesema wataendela kupambana katika michezo iliyobaki kwani licha ya wapinzani wao Simba ambao wanawafuukuza wana mechi nyingi hivyo lolote. Kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga, Meddie Kagere amefunga mabao mawili na kuikoa timu yake isipate kipigo kutoka kwa Coastal Union. Simba ilijikuta ikishangazwa dakika ya kwanza tu baada ya Raizin Hafidhi kuifungia Coastal Union bao kutokana na beki Erasto Nyoni kujichanganya na kipa wake Aishi Manula katika kuokoa mpira huo. Kagere aliisawazishia Simba bao kwa penalti dakika ya 48, penalti iliyotokana na Emmanuel Okwi kuangushwa na kipa wa Coastal Union Sudi Mohammed. Dakika ya 68 Kagere aliipata Simba bao la pili kwa shuti kali akimalizia pasi ya Clatous Chama hivyo kufikisha mabao 16 kwenye ligi na kumfikia kinara Salum Aiyee wa Mwadui FC huku akimzidi bao moja Heritier Makambo wa Yanga mwenye mabao 15.



Alichosema Haji Manara Kufungwa 4-1 Tp Mazembe, RC Makonda  ..
Alichosema Haji Manara Kufungwa 4-1 Tp Mazembe, RC Makonda ..

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Tumetolewa lakini tumeacha alama,tusijilaumu bali kwa hatua hii tujipongeze na Inshaallah Mwakani tutarudi kwa nguvu kubwa Kwenye Ligi ya Mabingwa!! Shukran Mungu kwa ulichotujaalia 🙏🙏 Sasa tunarudi kwa nguvu kubwa kuchukua ubingwa wetu wa Tanzania. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports