KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

Simba Yatolewa Ligi ya Mabingwa Afrika na TP Mazembe
Simba Yatolewa Ligi ya Mabingwa Afrika na TP Mazembe

#Simba #Tpmazembe Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Simba imepoteza mchezo wake wa robo fainali ya marudiano huku ikiondolewa kwenye mashindano hayo ya Afrika. Mchezo wake wa awali uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam timu hizo zilitoka suluhu ya bila kufungana Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Kocha Yanga: ''TP Mazembe Itaifunga Simba Kwao'' Ligi Kuu Bado
Kocha Yanga: ''TP Mazembe Itaifunga Simba Kwao'' Ligi Kuu Bado

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars FT TP Mazembe 4-1 Simba Goooool Okwi dk ya 2 Simba Gooool Mazembe chongo dk ya 23 Mazembe Goooool Elia Meshack dk ya 38 Mazembe Goooool Tresor Mputu dk ya 62 Mazembe Goooool Jackson Muleka dk ya 75 Mazembe Simba wamefanya mabadiliko ametoka Mzamiru Yassin anaingia Meddie Kagere. Mpira kwa sasa ni Kipindi cha pili Dakika 45 zimekamilika imeongezwa dakika moja MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali kati ya TP Mazembe na Simba unaendelea kwa sasa nchini Congo Kwa sasa ni kipindi cha kwanza ambapo hakuna timu ya Simba imeanza kupata bao la kwanza kupitia kwa Emanuel Okwi akimalizia pasi ya Niyonzima. Timu zote zimeanza kwa kushambulaina huku kila mmoja akitafuta sehemu ya kutokea. Mashabiki wa Mazembe wamejitokeza kama wote kushangilia timu ya Mazembe huku wa Simba wakiwa wamejitokeza kiasi chake Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Kocha Simba Hatuiogopi TP Mazembe, Tutapambana Uwanjani
Kocha Simba Hatuiogopi TP Mazembe, Tutapambana Uwanjani

#TPMAZEMBE #SIMBASC Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kocha mkuu wa Simba, Patrick Aussems alisema anatambua ugumu wa mchezo huo kutokana na rekodi nzuri ya Mazembe wakiwa nyumbani. Alisema maandalizi ya wiki moja waliyofanya yanamuaminisha kuwa tayari kuwapa changamoto Mazembe. "Hatuiogopi Mazembe bali tunaiheshimu, tunajua mchezo utakuwa mgumu kwa maandalizi ya nje ya uwanja lakini sisi tutapambana uwanjani," alisema. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Jeuri ya Pesa: Simba Yakwea Pipa Kuifuata TP Mazembe
Jeuri ya Pesa: Simba Yakwea Pipa Kuifuata TP Mazembe

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Simba inahitaji sare ya mabao yoyote au kushinda ili kusonga mbele kwa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya mchezo wa kwanza wa robo fainali kumalizika kwa suluhu jijini Dar es Salaam. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Vituko vya Zana Coulibally na Paschal Wawa, Mashabiki Wa Simba
Vituko vya Zana Coulibally na Paschal Wawa, Mashabiki Wa Simba

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imelazimishwa sare ya 0-0 na Tout Puissant Mazembe katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC watajilaumu wenyewe kwa sare hiyo ya nyumbani, kwani walipoteza nafasi nzuri mno ya kuibuka na ushindi kipindi cha pili, kufuatia Nahodha wake, John Raphael Bocco kukosa penalti. Kwa matokeo hayo, Simba SC watalazimika kwenda kushinda ugenini kwenye mchezo wa marudiano Aprili 13 Uwanja wa Mazembe mjini Lubumbashi, au kutoa sare ya mabao ili wafuzu kwa mabao ya ugenini. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Simba Watua Taifa 'Ki-Boss' Simba 0-0 TP Mazembe
Simba Watua Taifa 'Ki-Boss' Simba 0-0 TP Mazembe

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC imelazimishwa sare ya 0-0 na Tout Puissant Mazembe katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC watajilaumu wenyewe kwa sare hiyo ya nyumbani, kwani walipoteza nafasi nzuri mno ya kuibuka na ushindi kipindi cha pili, kufuatia Nahodha wake, John Raphael Bocco kukosa penalti. #TPMAZEMBE Kwa matokeo hayo, Simba SC watalazimika kwenda kushinda ugenini kwenye mchezo wa marudiano Aprili 13 Uwanja wa Mazembe mjini Lubumbashi, au kutoa sare ya mabao ili wafuzu kwa mabao ya ugenini. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Hali Ilivyokuwa nje ya Uwanja Simba 0-0 TP Mazembe
Hali Ilivyokuwa nje ya Uwanja Simba 0-0 TP Mazembe

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Hali ilivyokuwa nje ya Uwanja wa Taifa kabla ya Simba kucheza na TP Mazembe Aprili 6, 2018 mchezo wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Kocha Mbao: Tufungwa na Simba 3-0, Tumefanya Makosa
Kocha Mbao: Tufungwa na Simba 3-0, Tumefanya Makosa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC imeendeleza furaha kwa mashabiki wake baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya #MbaoFC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Ushindi huo uliotokana na mabao mawili ya Nahodha John Raphael Bocco na Mnyarwanda Meddie Kagere unaifanya Simba SC ifikishe pointi 57 baada ya kucheza mechi 22, lakini inabaki nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC yenye pointi 59 na Yanga SC pointi 67 baada ya wote kucheza mechi 28. Bocco, mmoja wa wachezaji waliokuwemo kwenye kikosi cha Tanzania kilichokata tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa uya Afrika mwaka huu nchini Misri wiki iliyopita, alifunga bao la kwanza kwa kichwa dakika ya 25 akimalizia krosi ya beki wa kushoto Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports