KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

Ngoma, Chirwa Walivyotua na Azam Kukipiga na Simba SC
Ngoma, Chirwa Walivyotua na Azam Kukipiga na Simba SC

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Kikosi Cha Simba Kilivyotua Kibabe Kuwavaa Azam Fc
Kikosi Cha Simba Kilivyotua Kibabe Kuwavaa Azam Fc

#SIMBASC #AZAMFC Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kikosi kitakachoanza: Aishi Manula, Nicholous Gyan,Mohamed Hussein, Yusufu Mlipili, Erasto Nyoni, James Kotei, Haruna Niyonzima, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Emmanuel Okwi, Clatous Chama Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Deogratius Munish, Zana Coulibary, Said Ndemla, Mzamiru Yassin, Hassan Dilunga, John Bocco, Rashid Juma Akiba: Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Simba Waingia Kibabe Kupambana Na Kagera Sugar
Simba Waingia Kibabe Kupambana Na Kagera Sugar

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Kocha Simba: Achekelea, Nilishasema, Simba bingwa
Kocha Simba: Achekelea, Nilishasema, Simba bingwa

Kagere na Okwi wameifunga magoli matatu kila mmoja huku Hassan Dilunga na Clatous Chama wakifunga moja moja.



Alichokisema Kocha wa Coastal Kupigwa 8-1 na SIMBA
Alichokisema Kocha wa Coastal Kupigwa 8-1 na SIMBA

SIMBA SC imepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa kibabe wa mabao 8-1 dhidi ya Coastal Union jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. #SIMBASC vs #COASTALUNION



Simba Watua Kibabe Uhuru Kuifunga 8-1 Costal Union
Simba Watua Kibabe Uhuru Kuifunga 8-1 Costal Union

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Simba imeitwanga Coastal Union kwa mabao 8-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Pamoja na ushindi wake mnono, washambuliaji wake wawili, Emmanuel Okwi na Meddy Kagere kila mmoja amefunga mabao matatu, yaani hat trick. Kwa mabao hayo, Kagere amefikisha mabao 20 msimu katika ligi kuu huku Okwi akifikisha 14 na kulingana na nahodha wa Simba, John Bocco aliyekuwa benchi katika mechi ya leo. Mabao mengine yalifungwa na Hassan Dilunga na Cleotus Chama raia wa Zambia na kuifanya Simba iandike ushindi huo mnono zaidi. Kwa ushindi wa leo, Simba imefikisha pointi 81 na kupaa kileleni ikiwaacha Yanga wenye pointi 80 waliokuwa wamekaa kileleni kwa muda mrefu zaidi. Yanga wamecheza 34 huku Simba wakiwa wamefikisha mechi 31 baada ya kucheza mechi yao ambayo wametoa kipigo kikali kwa Wagosi wa Kaya. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Manara Awachana Kocha Wa Yanga Na Kocha Mbeya City
Manara Awachana Kocha Wa Yanga Na Kocha Mbeya City

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Msemaji wa Simba Haji Manara akiwa katika Hoteli ya Pick ya jijini Mbeya amejibu shutuma za klabu hiyo kutumia fedha na kupendelewa ili ipate matokeo uwanjani. Akizungumza juu ya tuhuma za Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera na Kocha wa Mbeya City Ramadhani Nsanzurwimo, amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuwa makini na hizi tuhuma zinazotolewa na baadhi ya makocha wa ligi kuu. “Sina maana ya kuwataka TFF kuwafungia hao makocha wanaotoa tuhuma ila wajaribu kutoa onyo ili haya mambo yasijirudie kwenye ligi yetu”amesema Haji Manara . Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Alichosema Kocha wa SIMBA Kuwafunga JKT Tanzania
Alichosema Kocha wa SIMBA Kuwafunga JKT Tanzania

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa 1-0 JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam jioni ya leo. Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 72 baada ya kucheza mechi 28 na kuendelea kushika nafasi ya pili, nyuma ya watani wao wa jadi, #YangaSC wenye pointi 77 za mechi 33. Sifa zimuendee mfungaji wa bao hilo pekee dakika ya sita kati ya saba za nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida, kiungo Hassan Dilunga aliyetokea benchi kipindi cha kwanza kuchukua nafasi ya Nahodha, John Raphael Bocco. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports