Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

Goli na Kadi Nyekundu | Yanga SC 0-1 Azam FC | NBC Premier League 02/11/2024
Goli na Kadi Nyekundu | Yanga SC 0-1 Azam FC | NBC Premier League 02/11/2024

Baada ya kushinda mechi nane mfululizo, Yanga SC leo imepoteza kwa mara ya kwanza kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi. Goli pekee la mchezo limefungwa na Gibril Sillah dakika ya 33 ikiwa ni dakika 10 baada ya beki wa Yanga kutolewa kwa kadi nyekundu..... Hili hapa ni goli na kilichosababisha kadi nyekundu...

Mashujaa FC  0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 01/10/2024
Mashujaa FC 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 01/10/2024

Steven Mukwala ameifungia Simba goli pekee na la ushindi dakika ya mwisho ya mchezo, dhidi ya Mashujaa FC, kwenye Dimba la Lake Tanganyika, Kigoma..... Tazama matukio yote muhimu ya mchezo huu.... Hii ni #NBCPremierLeague

Singida Black Stars 0-1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/10/2024
Singida Black Stars 0-1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/10/2024

Pacome Zouzoua amepiga goli pekee na la ushindi kwa Yanga ikiitandika Singida Black Stars bao 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar.. Hii ni mechi ya ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague

KIPYENGA CHA MWISHO 24/10/2024 | Osman Kazi aondoa utata wa maamuzi Kariakoo Derby
KIPYENGA CHA MWISHO 24/10/2024 | Osman Kazi aondoa utata wa maamuzi Kariakoo Derby

Mwamuzi mstaafu wa soka Osman Kazi ameondoa utata wa maamuzi kwenye matukio yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC uliopigwa Oktoba 19, 2024.

Simba SC 0-1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 19/10/2024
Simba SC 0-1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 19/10/2024

KARIAKOO DERBY | Goli pekee la kujifunga kupitia kwa Kelvin Kijili, limeipa Yanga pointi tatu muhimu katika mchezo wa Kariakoo Derby, #NBCPremierLeague , ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Tazama highlights....

Magoli sita | JKT Tanzania 4-2 Tabora United | NBC Premier League 18/10/2024
Magoli sita | JKT Tanzania 4-2 Tabora United | NBC Premier League 18/10/2024

John Bocco amefunga magoli mawili dakika ya 21 na 26, akiiongoza JKT Tanzania kuichapa Tabora United mabao 4-2 ,katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo. Dar es Salaam. Magoli mengine yametoka kwa Edward Songo dakika ya 58 na Said Ndemla dakika ya 63... huku magoli ya Tabora United yakifungwa na Offen Chikola dakika ya 42 na Yacouba Sogne dakika ya 90. Haya hapa magoli yote sita....

Henock Inonga aenda kuwasalimia wachezaji wa Taifa Stars
Henock Inonga aenda kuwasalimia wachezaji wa Taifa Stars

Tazama beki wa DR Congo, Hennock Inonga alivyokwenda kuwasilimia wachezaji wa Taifa Stars, walipokuwa kwenye mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Marty's jana Alhamisi ya Oktoba 9, 2024 Inonga kwa sasa anacheza soka nchini Morocco akitokea klabu ya Simba ya Tanzania. Stars itashuka dimbani leo Oktoba 10, 2024 dhidi ya DR Congo mchezo wa kundi ‘H’ #KufuzuAFCON2025. #KufuzuAFCON2025 #AFCONQ2025 #MtoCongo #TaifaStars #Tanzania #CongoDR #DRCongo #CongoDRTanzania #DRCTanzania

Simba SC 2-2 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 04/10/2024
Simba SC 2-2 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 04/10/2024

Coastal Union imelazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba KMC Complex, Dar es Salaam. Simba wametangulia kwa magoli mawili kipindi cha kwanza kutoka kwa Mohamed Hussein Zimbwe Jr. na Lionel Ateba kwa penati , lakini Coastal wakacharuka kipindi cha pili na kupata magoli mawili kupitia kwa Abdallah Hassan na Hernest Malonga.... Tazama highlights....

Highlights

Simba 3-0 Ruvu Shootings | Highlights | NBC Premier League - 12/05/2023
Simba 3-0 Ruvu Shootings | Highlights | NBC Premier League - 12/05/2023

Mnyama Simba SC licha ya kupoteza Ubingwa wa NBC Premier League bado aendelea kutoa vichapo na hii leo amefanikiwa ...

Simba yaitaka Azam FC, Mgunda awa mbogo kikosi kilichocheza na Namungo
Simba yaitaka Azam FC, Mgunda awa mbogo kikosi kilichocheza na Namungo

Wachezaji waliocheza mchezo uliopita ni wachezaji halali wa Simba” maneno ya kocha msaidizi wa Simba SC, Juma Mgunda ...

LIVE - UCHAMBUZI KUELEKEA MECHI YA SINGIDA BS NA YANGA - NBC PL 4/05/2023
LIVE - UCHAMBUZI KUELEKEA MECHI YA SINGIDA BS NA YANGA - NBC PL 4/05/2023

Fuatilia matangazo mbashara ya uchambuzi wa mechi ya NBC Premier League kati ya Singida Big Stars dhidi ya Yanga SC, ...

Namungo 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 03/05/2023
Namungo 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 03/05/2023

Simba SC imelazimishwa sare ya bao 1-1 na namungo FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo ...

Magoli | Namungo FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League 03/05/2023
Magoli | Namungo FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League 03/05/2023

Simba SC imelazimishwa sare ya bao 1-1 na namungo FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo ...

Mayele afunguka 'za ndaaaani' siri ya kisasi chake kwa Rivers United
Mayele afunguka 'za ndaaaani' siri ya kisasi chake kwa Rivers United

"....lazima nilipize mateso niliyopata" - Kumbe straika wa Yanga, Fiston Mayele alikuwa na kisasi na Rivers United..... Hebu sikia ...

Mchambuzi Ramadhan Mbwaduke akokotoa pasi za Simba dhidi ya Wydad
Mchambuzi Ramadhan Mbwaduke akokotoa pasi za Simba dhidi ya Wydad

Msikie mchambuzi wa soka Ramadhan Mbwaduke akikokotoa idadi ya pasi za Simba SC kwenye mechi zote mbili za Ligi ya ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports