Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

Yanga wafanya mazoezi yao ya kwanza Lubumbashi wakiwasaka TP Mazembe
Yanga wafanya mazoezi yao ya kwanza Lubumbashi wakiwasaka TP Mazembe

"Wachezaji wako tayari, viongozi wako tayari" - Maneno yaliyosikika wakati Meneja wa Habari na Mawasiliano wa @yangasc, @alikamwe akifanya mahojiano na viongozi wa msafara waliombatana nao DR Congo kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe. Aidha, Kamwe ameeleza kwamba mashabiki wa Yanga tayari wapo mjini Lubumbashi kwa ajili ya kuwapa nguvu wachezaji kwenye mchezo huo wa Jumamosi Desemba 14, 2024. Game itapigwa saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD Mhariri ✍ @abuuyusuftz #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #CAFCL #YangaSC #TPMazembe

Namungo FC 0-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/11/2024
Namungo FC 0-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 30/11/2024

Yanga imerejea kwenye njia ya ushindi baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, ambapo leo imeshinda 2-0 ugenini dhidi ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Majaliwa Stadium, Ruangwa, Lindi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Kennedy Musonda dakika ya 50 na Pacome Zouzoua dakika ya 68.

Magoli | Namungo FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League 30/11/2024

Azam FC 2-1 Singida Black Stars | Highlights | NBC Premier League 28/11/2024
Azam FC 2-1 Singida Black Stars | Highlights | NBC Premier League 28/11/2024

Azam FC imeitandika Singida Black Stars mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi..... Magoli ya Azam FC yametoka kwa Feisal Salum na Jhonier Blanco huku Singida wakpata bao lao kupitia kwa Elvis Rupia...

Pamba Jiji FC 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League - 22/11/2024
Pamba Jiji FC 0-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League - 22/11/2024

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Pamba Jiji dhidi ya Simba SC. Simba imeshinda kwa goli 1-0 na mfungaji ni Leonel Ateba.

Yanga SC 1-3 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 07/11/2024
Yanga SC 1-3 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 07/11/2024

Yanga SC imepoteza mchezo wa pili mfululizo kwenye ligi baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa tabora United, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo Azam Complex, Chamazi. Offen Chikola amefunga magoli mawili dakika ya 19 na 45 ... huku Nelson Munganga akifunga la tatu dakika ya 78. Goli la kufutia machozi kwa Yanga limefungwa na Clement Mzize dakika ya 90. Yanga pia walipata penati dakika ya 45 ikipigwa na Stephane Aziz ki lakini ikadakwa na golikikpa Hussein Masalanga....

Magoli yote | Simba SC 4-0 KMC FC | NBC Premier League 06/11/2024
Magoli yote | Simba SC 4-0 KMC FC | NBC Premier League 06/11/2024

Simba SC imeichakaza KMC mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam..... Magoli ya Simba yamefungwa na Awesu Ally Awesu dakika ya 25, Jean Charles Ahoua mawili dakika ya 38' kwa penati na dakika ya 69', na lingine limetoka kwa Edwin Balua dakika ya 66. Haya hapa magoli yote manne.....

Goli na Kadi Nyekundu | Yanga SC 0-1 Azam FC | NBC Premier League 02/11/2024
Goli na Kadi Nyekundu | Yanga SC 0-1 Azam FC | NBC Premier League 02/11/2024

Baada ya kushinda mechi nane mfululizo, Yanga SC leo imepoteza kwa mara ya kwanza kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi. Goli pekee la mchezo limefungwa na Gibril Sillah dakika ya 33 ikiwa ni dakika 10 baada ya beki wa Yanga kutolewa kwa kadi nyekundu..... Hili hapa ni goli na kilichosababisha kadi nyekundu...

Highlights

Kariobangi Sharks 0-1 Tusker | Highlights | FKF Premier League - 13th May, 2023
Kariobangi Sharks 0-1 Tusker | Highlights | FKF Premier League - 13th May, 2023

Matukio kwa ufupi kwenye mechi ya FKF Premier League wakati Tusker akiondoka na ushindi wa goli moja dhidi ya Kariobangi ...

Mashemeji Derby | Gor Mahia 1-2 AFC Leopard | Highlights | FKF Premier League - 14/05/2023
Mashemeji Derby | Gor Mahia 1-2 AFC Leopard | Highlights | FKF Premier League - 14/05/2023

Tazama matukio muhimu na kwa ufupi yaliyojiri kwenye mchezo wa FKF Premier League uliozikutanisha Gor Mahia dhidi ya AFC ...

Polisi Tanzania 3-1 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League - 15th May, 2023
Polisi Tanzania 3-1 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League - 15th May, 2023

Tazama Polisi Tanzania ilivyoichakaza Mtibwa Sugar katika mchezo wa NBC Premier League. Magoli ya Polisi yalifungwa ...

Azam FC 1-2 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League - 14th May, 2023
Azam FC 1-2 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League - 14th May, 2023

Tazama matukio na magoli yaliyoipa ushindi Namungo FC dhidi ya Azam FC, mabao ya Namungo yamefungwa na Hassan ...

Highlights | Kagera Sugar 0-1 Tanzania Prisons | NBC Premier League League - 14/05/2023
Highlights | Kagera Sugar 0-1 Tanzania Prisons | NBC Premier League League - 14/05/2023

Tazama matukio na goli pekee la Edwin Balua wa Tanzania Prisons lililotosha kabisa kuwapa alama tatu 'Wajelajela'.

Coastal Union 1- 0 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League - 14/05/2023
Coastal Union 1- 0 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League - 14/05/2023

Goli pekee la Mubarak Hamza akipeleka ushindi kwa Wagosi wa Kaya dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa NBC Premier League.

Geita gold 0 -1 Mbeya city | Highlights | NBC Premier League - 13/05/2023
Geita gold 0 -1 Mbeya city | Highlights | NBC Premier League - 13/05/2023

Haya hapa matukio mbalimbali yaliyojiri katika Uwanja wa Nyankumbu, Mjini Geita wakati Mbeya City akiondoka na ushindi wa ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports