Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

Simba SC 1-1 AL Hilal | Highlights | Mechi ya Kirafiki 31/08/2024
Simba SC 1-1 AL Hilal | Highlights | Mechi ya Kirafiki 31/08/2024

Lionel Ateba amefunga goli katika mchezo wake wa kwanza ndani ya Simba, lakini likachomolewa kipindi cha pili na Serge Pokou dakika ya 76, na matokeo yakawa ni sare ya bao 1-1 kati ya Simba vs Al Hilal. Ni mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Dimba la KMC, Mwenge Dar es Salaam

Kagera Sugar 0-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 29/08/2024
Kagera Sugar 0-2 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 29/08/2024

Maxi Nzengeli na Clement Mzize wamefunga magoli mawili, Yanga ikishinda 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba Bukoba, mchezo wa #NBCPremierLeague

Yanga SC 6-0 Vital'O FC | Highlights | CAF CL 24/08/2024
Yanga SC 6-0 Vital'O FC | Highlights | CAF CL 24/08/2024

Clatous Chama amefunga goli moja na kutoa assist nne, Yanga SC ikiwanyoosha Vital'O ya Burundi kwa kichapo kizito cha magoli 6-0 katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.... Waliofunga magoli hayo ni Pacome Zouzoua kwa penati dakika ya 14, Clement Mzize dakika ya 49, Clatous Chama dakika 51, Prince Dube dakika 71, Stephane Aziz Ki dakika ya 78 na Mudathir Yahya dakika ya 86.

Magoli yote | Yanga SC 6-0 Vtal'o FC | CAF CL 24/08/2024
Magoli yote | Yanga SC 6-0 Vtal'o FC | CAF CL 24/08/2024

Clatous Chama amefunga goli moja na kutoa assist nne, Yanga SC ikiwanyoosha Vital'O ya Burundi kwa kichapo kizito cha magoli 6-0 katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.... Waliofunga magoli hayo ni Pacome Zouzoua kwa penati dakika ya 14, Clement Mzize dakika ya 49, Clatous Chama dakika 51, Prince Dube dakika 71, Stephane Aziz Ki dakika ya 78 na Mudathir Yahya dakika ya 86. Haya hapa magoli yote......

Vital'o FC 0-4 Yanga SC | Highlights | CAF CL 17/08/2024
Vital'o FC 0-4 Yanga SC | Highlights | CAF CL 17/08/2024

Magoli manne yamefungwa, Yanga ikishinda 4-0 ugenini dhidi ya Vital'o ya Burundi, mchezo wa kwanza hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa barani Afrika ukipigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Wafungani ni Prince Dube dakika 6, Clatous Chama dakika ya 68, Clement Mzize dakika ya 74 na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 90.

Magoli | Vital'o FC 0-4 Yanga SC | CAF CL 17/08/2024

Yanga SC 4-1 Azam FC | Highlights | Fainali | Ngao ya Jamii 11/08/2024
Yanga SC 4-1 Azam FC | Highlights | Fainali | Ngao ya Jamii 11/08/2024

Magoli matano yamefungwa, Yanga ikishinda 4-1 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa fainali #NgaoYaJamii2024 ikipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar s Salaam. Magoli ya Yanga yametoka kwa Prince Dube 19', Yoro Diaby 28' goli la kujifunga, Stephane Aziz Ki 31' na Clement Mzize 90’+3 , huku Azam FC wakitangulia kwa goli la Feisal Salum Feitoto 13'.

Yanga SC 1-0 Simba SC | Highlights | Nusu Fainali Ngao ya Jamii 08/08/2024
Yanga SC 1-0 Simba SC | Highlights | Nusu Fainali Ngao ya Jamii 08/08/2024

KARIAKOO DERBY | Goli pekee kutoka kwa Maxi Nzengeli dakika ya 44 limewapeleka Yanga fainali ya #NgaoYajamii2024 wakiwafunbga Simba bao 1-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa Dimba la Benjamin Mpaka, Dar es Salaam

Highlights

KURASA ZA MWISHO 29/04/2023:  Moto wa Simba kwa Wydad Casablanca magazetini, kauli ya Ahmed Ally
KURASA ZA MWISHO 29/04/2023: Moto wa Simba kwa Wydad Casablanca magazetini, kauli ya Ahmed Ally

Ni mjadala wa mapitio ya kurasa za michezo kwenye magazeti ya leo Aprili 29, 2023 ambapo kubwa ni kiwango kilichooneshwa ...

Simba SC Morocco: Ubalozi na Wajumbe wa Bodi waongeza nguvu kuikabili Wydad Casablanca
Simba SC Morocco: Ubalozi na Wajumbe wa Bodi waongeza nguvu kuikabili Wydad Casablanca

SIMBA MOROCCO: Baadhi ya viongozi walioambatana na kikosi cha Simba nchini Morocco akiwemo Dkt. Seif Muba, lakini pia ...

"Wachezaji wanaitaka mechi" - Kocha Mgunda kuelekea mechi ya Simba na Wydad AC nchini Morocco
"Wachezaji wanaitaka mechi" - Kocha Mgunda kuelekea mechi ya Simba na Wydad AC nchini Morocco

SIMBA MOROCCO: Kocha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda, kuelekea mchezo wao wa ugenini dhidi ya Wydad Casablanca, ...

"Tutawashangaza..." - Kocha Simba kuelekea mechi dhidi ya Wydad Casablanca
"Tutawashangaza..." - Kocha Simba kuelekea mechi dhidi ya Wydad Casablanca

SIMBA MOROCCO: Sikia Kauli ya Kocha wa Simba, Roberto Olviera #Robertinho kuelekea mchezo wao dhidi ya Wydad ...

CEO wa Simba 'aunguruma' Morocco kuelekea mechi yao dhidi ya Wydad Casablanca
CEO wa Simba 'aunguruma' Morocco kuelekea mechi yao dhidi ya Wydad Casablanca

SIMBA MOROCCO: Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula kutoka Casablanca nchini Morocco anazungumza kuhusu muda wa ...

Wachezaji Simba morali juu kuivaa Wydad, Ally Salim kuanza langoni
Wachezaji Simba morali juu kuivaa Wydad, Ally Salim kuanza langoni

"Kutokana na mtiririko wa kimazingira Ally Salim ataendelea kudaka" Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ...

Azam FC TV | Pashapasha ya Azam FC kuikabili Simba SC, yaanza na Ruvu Shooting
Azam FC TV | Pashapasha ya Azam FC kuikabili Simba SC, yaanza na Ruvu Shooting

Azam FC yaichapa Ruvu Shooting kwenye NBC Premier League, yajipanga kuiwinda Simba SC kwenye Azam Sports Federation ...

Kagera Sugar 1-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 23/04/2023
Kagera Sugar 1-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 23/04/2023

Kagera Sugar waliokuwa pungufu kwa zaidi ya dakika 45 wamepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City kwenye Dimba la ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports