Yanga SC 5-0 Polisi Tanzania | Magoli | Azam Sports Federation Cup - 20/02/2024
Tazama magoli ya Yanga SC ikiichapa Polisi Tanzania magoli 5-0.
Mchezo wa raundi ya tatu ya michuano ya Azam Sports Federation Cup.
Magoli yamefungwa na Joseph Guede, Farid Mussa, Clement Mzize na Shekhan Ibrahim