Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Latest Posts

MSHIKESMSHIKE VIWANJANI - 03/04/2024
MSHIKESMSHIKE VIWANJANI - 03/04/2024

Tazama taarifa mbalimbali za maandalizi ya Simba na Yanga SC kuelekea mechi zao za marudiano za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Afrika.

MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 01/04/2024
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 01/04/2024

Tazama kipindi cha Mshikemshike Viwanjani ambacho kimekusanya habari mbalimbali ikiwemo taarifa ya Rais wa Yanga, Hersi Said akizungumzia mchakato wa mabadiliko ya klabu hiyo. Mashabiki wa Yanga wameanza safari ya kwenda Mamelodi

Azam FC 2 -1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 17/03/2024
Azam FC 2 -1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 17/03/2024

DAR DERBY: Yanga SC imeangukia pua kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Azam FC, katika #DarDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga imetangulia kupata bao kupitia kwa Clement Mzize dakika ya 10 kabla ya Azam kuchomoa dakika ya 19 kwa goli la Gibril Sillah na kisha Feisal Salum akafunga la ushindi dakika ya 51.

Magoli | Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League 17/03/2024

Simba 2-0 Mashujaa | Highlights | NBC Premier League 15/03/2024
Simba 2-0 Mashujaa | Highlights | NBC Premier League 15/03/2024

Clatous Chama amefunga magoli mawili muhimu dakika ya 57 na 73, Simba ikipata ushindi wa 2-0 dhidi ya Mashujaa FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa #AzamComplex, Chamazi .

Yanga SC 5-0 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 11/03/2024
Yanga SC 5-0 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 11/03/2024

Stephane Aziz Ki ametoa 'assist' tatu na kufunga goli moja, Yanga ikiichakaza Ihefu kwa kichapo cha mabao 5-0, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Aliyefungua Dimba alikuwa ni Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya dakika ya 30, Aziz Ki dakika ya 68, Augustine Okrah dakika ya 84 na Maxi Nzengeli dakika ya 86.

Magoli | Yanga SC 5-0 Ihefu SC | NBC Premier League 11/03/2024
Magoli | Yanga SC 5-0 Ihefu SC | NBC Premier League 11/03/2024

Stephane Aziz Ki ametoa 'assist' tatu na kufunga goli moja, Yanga ikiichakaza Ihefu kwa kichapo cha mabao 5-0, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Aliyefungua Dimba alikuwa ni Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya dakika ya 30, Aziz Ki dakika ya 68, Augustine Okrah dakika ya 84 na Maxi Nzengeli dakika ya 86. Haya hapa magoli yote matano....

Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 06/03/2024
Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 06/03/2024

Simba SC imechezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tanzania Prisons, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro. Magoli yote mawili ya Tanzania Prisons yamefungwa na Samson Mbangula dakika ya 45 na 62 huku goli pekee la Simba likipatikana dakika ya 89 kupitia kwa Fabrice ngoma. Tazama Highlights....

Highlights

Magoli na penati | Azam 2-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 07/04/2023
Magoli na penati | Azam 2-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 07/04/2023

Azam FC imeichapa Mtibwa Sugar mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa leo kwenye Dimba la ...

Singida Big 3-0 Polisi Tanzania | Highlights | ASFC 07/04/2023
Singida Big 3-0 Polisi Tanzania | Highlights | ASFC 07/04/2023

Goli la Amisi Tambwe ni miongoni mwa magoli makali ya Singida Big Stars yaliyofungwa leo, na kuondoka na ushindi wa 3-0 ...

Tazama magoli makali Singida Big Stars ikiwatandika Polisi Tanzania 3-0 | NBC PL 07/04/2023

Furaha ya Mashabiki wa Yanga Lubumbashi Congo baada ya ushindi
Furaha ya Mashabiki wa Yanga Lubumbashi Congo baada ya ushindi

Wasikie Mashabiki wa Timu ya Yanga kutoka Lubumbashi Congo wakizungumzia furaha yao baada ya timu hiyo kupata ushindi ...

Viongozi wa Yanga, Mdhamini na Mfadhili wa timu GSM walivyofika dimba la TP Mazembe
Viongozi wa Yanga, Mdhamini na Mfadhili wa timu GSM walivyofika dimba la TP Mazembe

Tazama msafara wa viongozi wa Yanga ulivyowasili ndani ya dimba la TP Mazembe tayari kuishuhudia mechi. Waliopo hapo ni ...

Mapokezi kikosi cha Yanga hotelini baada ya kuichapa TP Mazembe
Mapokezi kikosi cha Yanga hotelini baada ya kuichapa TP Mazembe

Tazama mapokezi ya kikosi cha Yanga baada ya kurejea hotelini ikitoka katika dimba la TP Mazembe ambako imewachapa ...

Yanga yatoa msaada kuelekea mechi yao ya dhidi ya TP Mazembe
Yanga yatoa msaada kuelekea mechi yao ya dhidi ya TP Mazembe

Klabu ya Yanga imeendeleza utamaduni wake wa kurudisha kwa jamii baada ya leo kutembelea na kutoa msada kwenye kituo ...

Ligi ya Mabingwa | Shangwe la mashabiki wa Raja Casablanca dhidi ya Simba
Ligi ya Mabingwa | Shangwe la mashabiki wa Raja Casablanca dhidi ya Simba

Tazama 'mzuka' huu wa mashabiki wa Raja Casablanca kuelekea mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya ...

« Previous Next »

User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports