Azam TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Simba yametoka kwa Sadio Kanoute dakika ya 19 na Edwin Balua dakika ya 77.
Goli pekee kutoka kwa Joseph Guede limeipa yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ugenini kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tazama highlights....
Mabingwa watetezi, Yanga SC wametinga nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup kwa kuibutua Tabora United mabao 3-0 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Stephane Aziz ki dakika ya 35, Kennedy Musonda dakika ya 66 na Joseph Guede dakika ya 82.
Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa fainali ya Muungano Cup kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Simba imeshinda goli 1-0
KARIAKOO DERBY: Yanga SC imeendeleza ubabe kwa kuichapa Simba mabao 2-1 kwa mara ya pili msimu huu, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa kipindi cha kwanza na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 20 na Joseph Guede dakika ya 38.
Kwa TKO raundi ya sita, Mada Maugo amemkalisha Karim Mandonga.
Tazama mikwaju yote ya penati iliyopigwa kwenye mchezo CRDB Bank Federation Cup kati ya Mashujaa FC dhidi ya Simba SC. Simba imetolewa kwa jumla ya penati 6-5 Waliopiga kwa upande wa Simba ni Mohamed Hussein, Israel Mwenda, Freddy Michael Koublan, Willy Onana, Mzamiru Yassin, Ladack Chasambi, Sadio Kanoute Waliopiga kwa upande wa Mashujaa ni Zuberi Dabi, Samson Madeleke, Masinda, Idrissa Stambuli, Adam Adam, Mpoki Mwakinyuke, Baraka Mtui
“Kama klabu lazima tuoneshe kwamba kuna namna ambavyo hatujaridhishwa na kile ambacho kimetokea katika mchezo ule” sehemu ya maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akizungumzia hatua ambazo timu hiyo imepanga kuzichukua juu ya yale yaliyojiri katika dimba la Loftus kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns.
Wajelajela, Tanzania Prisons wamewashushia kichapo cha mabao 3-1 Ruvu Shooting, mechi ya #NBCPremierLeague ikipigwa ...
Amefunga Jacob Masawe dakika ya 23, kisha akafunga Shiza Kichuya dakika ya 74 kabla ya Abdulrazack Mohamed kufunga la ...
Amefunga Jacob Masawe dakika ya 23, kisha akafunga Shiza Kichuya dakika ya 74 kabla ya Abdulrazack Mohamed kufunga la ...
Mchezaji wa zamani wa Coastal Union, Raizin Hafidh Haji ndiye liyewanyima ushindi Coastal Union akisawazisha bao dakika ya ...
Mchezaji wa zamani wa Coastal Union, Raizin Hafidh Haji ndiye liyewanyima ushindi Coastal Union akisawazisha bao dakika ya ...
Wajelajela, Tanzania Prisons wamewashushia kichapo cha mabao 3-1 Ruvu Shooting, mechi ya #NBCPremierLeague ikipigwa ...
Fuatilia matangazo ya LIVE kuhusu uchambuzi kuelekea mechi ya NBC Premier League kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Ruvu ...
Azam FC imeichapa Mtibwa Sugar mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliochezwa leo kwenye Dimba la ...