Mashujaa FC 0 -1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/05/2024
Goli pekee kutoka kwa Joseph Guede limeipa yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ugenini kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Tazama highlights....