EXCLUSIVE: MGOSI AMKATAA AZIZ KI, HAKUNA OKWA BILA CHAMA, FUNDI LA SIMBA
mussa mgosi mashine ya magoli simba aelezea simba day ilipotokea, jinsi alivyomuona okwa na balaa la chama, amkataa azizi ki kuwa hajawahi kumuona kokote na kikosi kizma cha yanga