EXCLUSIVE: VIPERS WATOBOA SIRI YA MANZOKI/KUMBE SIMBA HAWANA CHAO/ ANAMKATABA HADI 2025
msemaji wa timu ya vipers Wasike Abdu aweka wazi mkataba wa manzoki, simba walipokosea na umiliki wao kwa mchezaji huyo pia kuhusiana na mechi ya kesho kuipiga yanga katika siku ya mwananchi