#EXCLUSIVE: KIGOGO M-BET ATAJA 'KUFURU' YA 'BONUS' ZA UBINGWA SIMBA
Mkurugenzi wa masoko wa m-bet amezungumza na BOIPLUS akitoboa siri ambayo imejificha juu ya mkataba wao na Simba.
Kigogo huyo amefunguka kuhusu bonus endapo Simba itafanya vizuri katika mashindano mbalimbali.