Millard Ayo's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Simba SC imerejea Dar es Salaam ikitokea Mbeya ilipokwenda kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya. Prisons ambapo Simba SC ilipata ushindi wa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na Jonas Mkude dakika ya 86.
Club ya Simba SC imetangaza kumfuta kazi Kocha wake Mkuu Raia wa Serbia Zoran Maki kwa makubaliano ya pande zote mbili, Zoran anaondoka Simba SC baada ya kudumu kwa siku 57 toka alipotambulishwa rasmi July 12 2022.
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepoteza pambano dhidi ya Bondia Muingereza Liam Smith, Mwakinyo amepoteza pambano hilo kwa TKO round ya 4 katika pambano lenye round 12 lakini kupoteza kwake kumezua sintofahamu.
Kwenye mchezo wa ngao ya Jamii Leo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC mchezo uliyochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga SC amefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1.
Kwenye mchezo wa ngao ya Jamii Leo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC mchezo uliyochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga SC amefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1.