SHABIKI WA SIMBA AJAWA NA JAZBA SIMBA KUFUNGWA 2-1 NA YANGA "NIKO RADHI KUFA"
Kwenye mchezo wa ngao ya Jamii Leo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC mchezo uliyochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga SC amefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1.