Content removal request!


MWAKINYO AMWAGA MACHOZI AKIWAOMBA MSAMAHA WATANZANIA "NAOMBENI MNISAMEHE"

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepoteza pambano dhidi ya Bondia Muingereza Liam Smith, Mwakinyo amepoteza pambano hilo kwa TKO round ya 4 katika pambano lenye round 12 lakini kupoteza kwake kumezua sintofahamu.